• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HITIMISHO LA ZIARA YA RC CHALAMILA KATIKA JIMBO LA UBUNGO

Posted on: August 15th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Albert Chalamila amemaliza ziara yake Wilaya ya Ubungo kwa kutembelea  miradi iliyopo katika jimbo la Ubungo tarehe 14/8/2014 ambapo ameanza kwa kukagua ujenzi wa mashedi matatu na mifereji ya maji katika soko la ndizi Mabibo na kupongeza hatua za ujenzi wa mashedi hayo ambayo yamesaidia wafanyabiashara kufanyabishara katika  Mazingira safi

Akisoma taarifa ya soko hilo Afisa biashara Manispaa ya Ubungo Mary Mwakyosa amesema kuwa hali ya ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2023/2024 jumla ya shilingi 822,400,685.00 zimekusanywa  na kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 soko hilo limepangiwa kukusanywa kiasi cha shilingi 1,306,800,000.00

Mwakyosi aliendelea kusema kuwa Mikakati ya Halmashauri  mpaka Sasa  pamoja na ujenzi wa mashedi, mifereji na barabara katika soko hilo Halmashauri ina mpango mkubwa wa maboresho katika soko hilo ikiwemo ujenzi kwa mashedi mengine kwa ufadhili  wa mradi wa  DMDP

Aidha, baada ya kusomwa kwa taarifa hiyo Chalamila amesema ameagiza Halmashauri kuhakikisha fedha zinazokusanywa kupitia soko hilo ziweze kuendelea  kufanya maboresho katika soko hilo

Pia Chalamila amewasisitiza wafanyabiashara sokoni hapo kulipa ushuru kwani fedha hizo zinaenda kufanya maendeleo kwa soko na kusaidia katika utekelezaji wa  miradi mbalimbali ya  Serikali

RC chalamila pia ametembelea Mradi wa barabara yenye urefu wa km 0.3  inayojengwa kwa gharama ya shilingi 528,120,005.92 ambapo mpaka Sasa umefikia asilimia 40 na kuwapongeza Tarura kwa ujenzi wa barabara hiyo inayoenda kuleta maendeleo katika Kata ya makuburi na wakazi wa maeneo hayo kwa kurahisisha na kutatua changamoto ya kuwa na  barabara korofi

Baada ya ziara Rc Chalamila akasikiliza kero za wananchi na kuzitatua  katika viwanja vya Shule ya Msingi Mabibo vilivyopo makuburi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa