• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HITIMISHO LA ZOEZI LA ARDHI CLINIK UBUNGO, HATI 1692 ZATOLEWA.

Posted on: December 14th, 2023

Ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi la ardhi Clinic katika Wilaya ya Ubungo lililofanyika katika viwanja vya Kimara stopover kwa siku 28 kwa awamu ya kwanza ambapo jumla ya hati 1692 zimetolewa sawa na asilimia 89.2 ya lengo kwa awamu ya kwanza iliyolenga kutoa hati 1898.

Akifunga zoezi hilo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amesema kuwa, katika kuhakikisha utatuzi wa swala la urasimishaji kwa wananchi wa ubungo linafanyika na kuindoa sintofahamu kwa wananchi ili kila mwananchi awe na umiliki wa aridhi zoezi litaendelea katika mitaa ambapo mitaa 10 ya kwanza zoezi hilo litafanyika kuanzia jumatatu na mitaa hiyo ni kibamba,golani,mpigi magoe, Kibangu, makabe,tegeta A, malamba mawili, luis,Hondogo na mji mpya

Na mitaa hiyo kumi ni kwaajili ya utambuzi,upangaji,upimaji na umilikishaji na tumeangalia wananchi walio katika hatua ya awali tuwakwamue pia. Alisema hayo Komba


"Tunafanya hivyo ili zoezi litakapo malizika katika mitaa mahema yawekwe tena kwaajili ya wananchi kujipatia hati miliki" alieleza komba

Na kwa wananchi wa mtaa wa baruti ni lazima tuweke kikao nao ili tuweze kutafuta suruhu la eneo hilo na kwa mitaa mingine inayobaki huduma itawafikia

Nae, Mratibu wa zoezi la ardhi clinik Mkoa wa Dar es Salaam Ndg.Mswani Laurent Alielezea mafanikio ya zoezi hilo pamoja amesema kuwa katika utekelezaji  wa mradi huo jumla ya maombi ya hati 1898 yalipokelewa lakini jumla ya  hati 1692 zimetolewa kwa wananchi  sawa na asilimia 89.2.

Aliendelea kueleza kuwa kupitia mradi huu, Serikali imefanikiwa kuingiza mapato kupitia ada na tozo kiasi cha shilingi milioni 367 na hati 552 zimetolewa kwa jinsia ya ME ,Hati 328 kwa jinsia ya kike, hati 93 kwa umiliki wa pamoja yani mke na mume ,hati 17 kwa makampuni,hati 8 kwa Taasisi mbalimbali. 


Changamoto mbalimbali za ardhi ambapo jumla ya  migogoro 798 ilitakiwa kufikiwa lakini  jumla ya changamoto 528 zimepatiwa majibu ,105 zinaendelea kufanyiwa kazi na 165 ni changamoto ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi katika vyombo vya sheria.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa