• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HOSPITALI YA SINZA PALESTINA YAIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA MWAKA 2025 KWA NGAZI YA HOSPITALI ZA WILAYA

Posted on: April 8th, 2025

Hospitali ya Sinza Palestina iliyopo Halmashauri ya  Manispaaa ya Ubungo imetunukiwa Tuzo ya kuwa Mshindi wa Tatu katika utoaji wa huduma bora za Afya kwa mwaka 2025 kwa kundi la Hospitali za Wilaya zote nchini. 

Tuzo hiyo imetolewa jana aprill 8, 2025 na Wizara ya Afya katika hafla za kilele cha Wiki ya Afya kitaifa mwaka 2025 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa  Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. 

Hospitali ya Sinza Palestina imetunukiwa Tuzo hiyo baada ya mchakato wa kuzishindanisha Hospitali zote za wilaya hapa nchini na kuibuka Mshindi katika mchakato huo ulioendeshwa na kusimamiwa na Wizara ya Afya na kisha kuzishinda Hospitali zote za Wilaya hapa nchini kwa kutoa huduma bora za Afya. 

Akitambulisha Tuzo hizo Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amesema kuwa katika maadhimisho ya Wiki ya Afya kwa mara ya kwanza Kitaifa limefanyika tukio la kuwatia moyo na kutambua mchango mkubwa wa watoa huduma za Afya kuanzia ngazi za msingi hadi Taifa na kuendesha mchuano kwa kushirikiana kati ya Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kupata Hospitali zilizofanya vizuri.

Dkt. Magembe anasema katika mchakato wa kuzishindanisha Hospitali waliangalia kiwango cha utoaji huduma za Afya na "Customer Care" na kuona namna Wagonjwa wanavyoridhishwa na huduma, lakini pia vigezo vya huduma za lishe na Ustawi wa jamii, uwajibikaji, usafi wa Mazingira, upatikanaji wa Dawa, Vifaa na Vifaa tiba na kiujumla ubora wa huduma za Afya ambazo zinatolewa na Hospitali na hatimae Hospitali ya Sinza kuibuka mshindi.


Tuzo hizo zilitolewa na Mhe. Waziri wa Afya kwenye siku ya kilele cha maazimisho ya wiki ya Afya kitaifa





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa