• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

IDARA YA AFYA TAMISEMI YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YA AFYA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: February 17th, 2022


Leo tarehe 17 April 2022, Manispaa ya Ubungo imetembelewa na viongozi wa Idara ya Afya Tamisemi lengo ikiwa ni kukagua miradi ya maendeleo ya afya inayotekelezwa na Manispaa hiyo.

 

Katika ukaguzi huo viongozi hao wametembelea Mradi wa ujenzi wa kituo kipya cha Afya cha Goba, Kituo cha Afya cha Kimara, Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo Kimara baruti, Kituo cha Afya cha Sinza na Kituo cha Afya cha Makuburi.


Akiongea kiongozi wa kutoka Idara ya Afya Tamisemi anaesimamia miradi ya afya Dr Sonda Shabani ameipongeza Manispaa hiyo kwa namna inavyotekeleza miradi hiyo kwa ufanisi na kuvutiwa zaidi na Kituo cha afya cha Kimara jinsi kilivyoweza kujengwa kwa ufanisi. Na kuzingatia usafi.


Dr Shabani amewahasa wauguzi wa vituo hivyo kufanya kazi kwa moyo na kwa kuwajali wagonjwa kwani majengo hayo mazuri ambayo viongozi wa Manispaa hiyo, (Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya) wanapambana kuyajenga lazima yaendane na hudumu bora zinazotolewa na wahudumu hao.


Aidha katika zoezi hilo viongozi hao wamependekeza yafuatayo; miongoni mwa kamati zilizopo kwa kila mradi iongezwe kamati ya kutunza na kutoa vifaa vya mradi, mpango kazi wa mradi ambao unahuishwa mara kwa mara, Kuwepo kwa file na ratiba ya vikao, na kuandaa maeneo yote yenye kutarajiwa kuwepo kwa  mradi.


Aidha Viongozi hao wamewataka waandisi kuhakikisha wanazingatia ramani katika miradi hiyo, Pia wameshauri kujengwa majengo ya ghorofa kwa kituo cha afya cha sinza na wameshauri wananchi watangaziwe kwenda kwenye vituo vya afya vilivyopo karibu na makazi yao.


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh Kheri James amewashukuru viongozi hao kwa kuitembelea Manispaa hiyo na kuwapongeza wote walioshiriki zoezi la usimamizi wa miradi hiyo na amewahasa kuendelea kufanya kazi kwa umoja ili kutekeleza vyema miradi hiyo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa