• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

JUKWAA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LAZINDULIWA

Posted on: March 21st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko amezindua rasmi Jukwaa la uwezeshaji Wanawake kiuchumi  Wilaya ya Ubungo leo tarehe 21 march, 2024 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT uliopo Mabibo

Akizindua Jukwaa hilo Bomboko amesema kuwa fursa zilizopo Ubungo ni lazima wanawake kutoka Wilaya hiyo wanufaike nazo ili waweze kujikwamua kiuchumi na lengo likiwa ni kumuwezesha mwanamke kimaendeleo

Bomboko aliendelea kwa kusema kuwa, Kipaumbele changu Kikubwa kwa Sasa ni kuhakikisha fursa za kujikwamua  kiuchumi na kijamii kwa kina mama zinaongezeka kwa kuwakaribisha taasisi mbalimbali kutoa fursa ambazo zitaenda kusaidia wakina mama.

"Hii Dunia bila nyinyi wakina mama haiwezi kunoga" hii kauli ni kubwa sana. Aliongeza Bomboko

Mikopo imetolewa lakini changamoto iliyopo ni wengine kutorejesha mikopo hiyo hivyo mkahimizane waliochukua mikopo waweze kurejesha ili na wengine waweze kupata mikopo hiyo. alieleza bomboko

Aidha, Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake Mkoa wa Dar es Salaam Fatma Kange amewataka wanawake kuchangamkia fursa mbalimbali zinajitokeza ili kujikimu kiuchumi na kuleta maendeleo katika jamii zao

Aliendelea kwa kuwasisitiza kuwa mstari wa mbele kwenye kujiwekeza ili kila mmoja awe na kipato kwa kutumiwa fursa zinazoendelea kujitokeza.

Nae, Mratibu wa Jukwaa la kuwezesha Wananchi Kiuchumi ambaye pia ni Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Ubungo Fatma Bangu amesema kuwa Leo imekua ni siku nzuri kwa wanawake wa ubungo kwani rasmi Jukwaa limezinduliwa na kwa heshima kubwa tumeweza kuwaona viongozi wapya wa Jukwaa la wanawake kwa Wilaya ya Ubungo.

Akiongea Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake Wilaya ya Ubungo Hidaya Njaidi amesema kuwa Kata 14 na Mitaa 90 yote itaenda kupata  fursa nyingi zitakazo wawezesha kiuchumi, "Wanawake tujitokeze kwa wingi kuhakikisha fursa hazituachi, tuangalie fursa na lengo likiwa ni kujikwamua kiuchumi"

Akisoma risala fupi Katibu wa Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Wilaya ya Ubungo Scholastica Ntiga amesema kuwa, jukwaaa limefanikiwa kuwawezesha wanawake kwenye mambo mengi ikiwemo, Kuunganisha wanawake Wilaya ya Ubungo kwenye mikopo ya asilimia 10


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa