• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

JUMLA YA HATI 283 ZIMESHATOLEWA KWENYE ARDHI CLINIC

Posted on: November 15th, 2023

Tangu siku tatu zipite toka kuzinduliwa kwa  zoezi la utoaji wa hati milki za ardhi kupitia programu ya  Ardhi Clinic lililozinduliwa tarehe 13/11/2023  Wilaya ya Ubungo Imefanikiwa kutoa jumla ya hati 283 na migogoro ya ardhi 69 imetatuliwa na zoezi hilo linafanyika katika viwanja vya Stopover.

Hayo yameelezwa na Mratibu wa zoezi  la urasimishaji Manispaa ya ubungo Ndg. John Ilomo ambapo  amewapongeza wananchi waliojitokeza kwa muitikio na ushirikiano ambao  wanaouonyesha katika kuchukua hati zao na kuwaomba waendelee kujitokeza kwa wingi.

"Mpaka sasa tumefanikiwa kutoa hati  hii inaonesha kuwa wananchi wameelewa na wameitikia  wito kufika kwenye viwanja hivi kwaajili ya kujipatia hati, hakika wananchi wameelewa kuwa serikali imewasogezea huduma " aliendelea kueleza Ilomo

Ilomo aliendelea kueleza kuwa, Japo Kuna hali ya mvua lakini wananchi wanaendelea kujitokeza kupata Huduma, hii inaonesha jinsi gani wananchi wameipokea vizuri na walikuwa na uhitaji wa huduma hii.

Victoria Mwasambili Mwananchi aliyefanikiwa kupata hati amepongeza Serikali kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa kuchukua muda mfupi na kupata hati tofauti ilivyokuwa awali ambapo ilikua inachukua muda mrefu  mpaka kufanikisha kupata hati.

Kutokana na huduma hii kuwa nzuri na rafiki kwa wananchi nina ahidi kuwa balozi mzuri katika zoezi hili na ntaenda kuhamasisha watu waje kwa  wingi kwani huduma hii imenifurahisha na nimeipenda sana " aliongeza Victoria

Katika zoezi hili la ardhi clinic  lengo ni kuwafikia wananchi wengi zaidi na kwa Manispaa ya Ubungo dhumuni ni hati 3419 zitolewe kupitia zoezi hili.
















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa