• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA BUNGE TAMISEMI YATAKA GHARAMA NAFUU FREMU KITUO CHA KIBIASHARA AFRIKA MASHARIKI - UBUNGO(EACLC)

Posted on: November 11th, 2024

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Justin Lazaro Nyamoga,  Novemba 11, 2024 imemtaka Mwekezaji anaejenga mradi wa kituo cha kibiashara  cha Africa Mashariki Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam(EACLC) East Africa commercial and logistic Center  kilichopo ilipokuwa stendi ya mabasi ya Ubungo (ubungo bus terminal)  kuzingatia hali za watanzania hasa wafanyabiashara wadogo katika upangaji wa bei za upangishaji wa maduka katika kituo hicho

Kamati imetoa agizo hilo baada ya kutembelea na kujionea hali ya utekelezaji wa mradi huo mkubwa wa kibiashara Afrika Mashariki na kusema kuwa uwekezaji kama huu unalenga kunufaisha watanzania na mwekezaji hivyo kutoa fursa kwa wafanyabiashara wazawa kutafsiri kwa vitendo ukuzaji wa uchumi wa watu na nchi kwa ujumla.

“Namna pekee ya kurudisha mchango kwa jamii ya watanzania ni kuwa na bei nafuu za upangishaji wa maeneo ya vizimba katika vituo hiki badala kutaka faida kubwa kwa kuweka bei kubwa zinazolenga watu wenye kipato kikubwa” alisisitiza Nyamoga

Mhe. Nyamoga amesema kuwa “Tumeangalia uwekezaji wa mradi huu ni mzuri “tunasisitiza kuzingatia usalama wa wafanyakazi wakati wote wanapofanyakazi kwa maana ya vifaa vya usalama na vyoo safi na vya kutosheleza kulingana na idadi ya watu ili kuepusha mlipuko wa magonjwa na kuumia wawapo kazini, hivyo sheria zifuatwe”

Aidha, Mhe. Nyamoja ameipongeza Serikali kwa kukubali uwekezaji huo mkubwa wa kibiashara kwani unaonesha matarajio mapya katika ukuaji wa biashara hapa nchini kwani utachochea shughuli za kibiashara nchini na nchi jirani.

Akitoa maelezo mbele ya kamati hiyo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Aron Kagurumjuli amesema kuwa,  Halmashauri hiyo ilipokea mradi wa uwekezaji wa Ujenzi wa Kituo cha Kibiashara Afrika Mashariki mwaka 2021 kutoka kwa iliyokuwa Jiji la Dar es Salaam katika eneo la iliyokuwa stendi ya mabasi ya Ubungo. "Mkataba wa awali wa uwekezaji ulisainiwa mwaka 2015 kati ya Jiji la Dares salaam na Mwekezaji Shanghai Linghang Group Limited


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa