• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA CAMFED CDC UBUNGO YAPITISHA MAJINA YA WAZABUNI

Posted on: January 28th, 2026

Kamati ya Maendeleo ya Jamii (CDC) ya Shirika la CAMFED Wilaya ya Ubungo imepitisha majina ya wazabuni walioomba zabuni ya kusambaza vifaa vya wanafunzi, vikiwemo madaftari, sare za shule (uniform) na viatu, kwa ajili ya wanafunzi wa kike 334 wanaofadhiliwa na shirika hilo wilayani humo.

Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha robo ya kwanza ya mwaka 2026 cha kamati hiyo, kilicholenga kuimarisha uratibu, mipango na usimamizi wa utekelezaji wa programu za kusaidia wanafunzi wa kike wanaoishi katika mazingira magumu Wilaya ya Ubungo.

Akifungua kikao hicho kilichofanyika Januari 28, 2026 katika ukumbi wa Shule ya Wasichana ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa kikao hicho, Ndugu Benedict Sandy, alisema kikao hicho kimewakutanisha wajumbe ili kufanya tathmini ya utekelezaji wa shughuli za robo ya nne ya mwaka 2025 pamoja na kuweka mikakati ya utekelezaji wa shughuli za robo mpya ikiwemo kujadili na kupendekeza majina ya wazabuni watakaoleta vifaa vya wanafunzi hao.

Katika kikao hicho, Mwenyekiti aliwasisitiza wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii (CDC) kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kuzingatia uwajibikaji, uadilifu na ufanisi, ili kuhakikisha wanafunzi wa kike wanaonufaika na ufadhili wa CAMFED wanapata elimu bora na yenye tija kwa kupatiwa vifaa vyenye ubora na kwa wakati. Alisisitiza kuwa usimamizi madhubuti wa shughuli za kamati ni msingi muhimu wa kufanikisha malengo ya kielimu ya wanafunzi hao.

Mwenyekiti ameeleza kuwa “Kwa kuwa  muhula mpya wa masomo umeanza, kamati iliona umuhimu wa kufanya maamuzi ya haraka kuhusu upatikanaji wa vifaa muhimu vya wanafunzi ili kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekosa mahitaji ya msingi ya masomo”. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wanafunzi hao kuendelea na masomo yao bila vikwazo vinavyoweza kusababishwa na uhaba wa vifaa vya kujifunzia.

Shirika la CAMFED linaendelea kujihusisha na kusaidia wanafunzi wa kike wanaoishi katika mazingira magumu ambao hushindwa kupata haki yao ya msingi ya elimu. Kupitia ufadhili wake, wanafunzi hao huwezeshwa kupata mahitaji mbalimbali ikiwemo nauli na fedha za chakula, hatua inayowawezesha kuhudhuria masomo yao kwa ufanisi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA CAMFED CDC UBUNGO YAPITISHA MAJINA YA WAZABUNI

    January 28, 2026
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYA WA MAPATO-NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU

    January 03, 2026
  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • UBUNGO YAENDESHA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA MIRADI

    December 08, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa