• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA UBUNGO YAFANYA ZIARA SHULE YA SEKONDARI MALAMBA MAWILI

Posted on: February 17th, 2025

Kamati ya kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo imefanya ziara ya kutembelea shule ya sekondari Malamba Mawili iliyopo kata ya Msigani katika ziara za robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2024/ 2025

Ziara hiyo ambayo imeongozwa na makamu mwenyekiti wake ambaye ni diwani wa kata ya Mbezi Mhe. Ismail Malata, imefanya ziara hiyo mapema leo Februari 17, 2025 kwa lengo la Kuongea na Wanafunzi wa shule hiyo katika jitihada za kuendelea kutoa elimu kwa Wanafunzi juu ya kujilinda pamoja na kudhibiti maambukizi mapya ya VVU

"Wanafunzi mmepata fursa adhimu ya kupata elimu yenu ambayo ndio msingi wa maisha yenu hapa duniani, lazima muache tabia ya utoro pamoja na kukaa vichochoroni mkishawishiana kufanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na mgono zembe ambazo zinaweza kupelekea kupata maambukizi mapya ya VVU" alisema Malata

Nae mratibu wa kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo ndugu Ally Hassan ameeleza kuwa kamati imeamua kufanya ziara katika shule hiyo ikiwa ni mkakati wa kuzuia maambukizi mapya ya VVU ambayo kwa kiasi kikubwa yanatoka kwenye kundi la vijana wa rika balehe kuanzia miaka 15 Ambao wanajishughulisha na shughuli mbalimbali ikiwemo bodaboda, mafundi gereji, Wanafunzi na kadhalika

Aidha katika kikao cha ziara hiyo ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa, kimehudhuriwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Yusuf Yenga pamoja na mbunge wa Kibamba Mhe. Issa Mtemvu kwa pamoja wamepongeza jitihada za kamati hiyo kwenye kudhibiti wa maambukizi mapya ya VVU huku wakitaka maazimio ya wajumbe wa kamati hiyo kufanyiwa kazi ikiwemo ni pamoja na Manispaa kununua gari maalumu la matangazo kwaajili ya utoaji elimu mitaani ya kujikinga na VVU

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa