• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA UBUNGO YATEMBELEA KONGA WILAYA YA UBUNGO

Posted on: January 14th, 2022


Kamati ya kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo leo 14 january,2022 imetembelea  Baraza la watu wanaoishi na VVU la Wilaya(Konga) lililopo Kata ya Msigani  na kujionea shughuli zinazosimamiwa na baraza hilo

Aidha Miongoni mwa baraza hilo Kuna  Vikundi wezeshi vya Watu wanaoishi na VVU katika Kata zote 14. 

Na pia Kamati ilifanikiwa kukutana na kikundi Wezeshi Cha Saranga VICOBA na kujionea shughuli zinazofanyika kwenye kikundi ikiwemo utengenezaji wa sabuni, mafuta , pafyumu , batiki na usimamizi wa majukumu yao Kama kikundi.

Akiwasilisha  taarifa ya Konga Katibu Neema Duma alisema kuwa wamefanikiwa Kutoa ELIMU kwa Jamii, wamefanikiwa kubaini Maeneo hatarishi yanayoweza kusababisha ongezeko la maambukizi ya VVU na kusambaza kondom katika Maeneo tofauti n.k


 Sambamba na hayo Wana Konga waliwasilisha maombi kwa kamati iweze kuwaisadia kupata ofisi ya kudumu kwaajili ya shughuli zao za Kila siku
















Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA April 26, 2021
  • TANGAZO KWA WAMACHINGA WOTE November 20, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC UBUNGO AZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO

    May 18, 2022
  • MANISPAA YA UBUNGO YAPOKEA UGENI KUTOKA OR - TAMISEMI NA WADAU WA MNYORORO WA UGAVI NA USAMBAZAJI WA BIDHAA ZA AFYA

    May 17, 2022
  • AJENDA YA ULINZI NA USALAMA NI NYUMBA KWA NYUMBA UBUNGO

    May 14, 2022
  • BARABARA YA SUKA - GOLANI MAMBO SAFI

    May 14, 2022
  • Tazama zote

Video

TAREHE 11/05/2022 MWENGE WA UHURU UTAPOKELEWA UBUNGO MANISPAA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa