• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA UBUNGO YATEMBELEA MASHINE ZA KUHIFADHI MIPIRA YA KIUME NA KIKE (CONDOM) NA VIFAA VYA KUJIPIMA AFYA KATIKA ENEO LA UBUNGO RIVERSIDE

Posted on: April 15th, 2025

Katika ziara za ya tatu mwaka wa fedha 2024/2025, Kamati ya kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo mapema  April 15, 2025 imefanya ziara maalumu ya kutembelea mradi maalumu wa mashine ya kuhifadhia mipira ya kiume na kike (KONDOMU) pamoja na vipimo vya VVU iliyopo katika eneo la Ubungo Riverside 

Ziara hiyo iliyoongozwa na kaimu mwenyekiti wa kamati hiyo diwani wa kata ya Mbezi Mhe. Ismail Malata pamoja na wajumbe wa kamati wamefurahishwa na mradi huo ambao lengo lake ni kupunguza maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hasa kwa vijana rika balehe pamoja na makundi hatarishi ikiwemo makundi ya dada poa

Mradi huo ambao unasimamiwa na taasisi ya my service kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Management of Development For Health (MDH) ambapo wamekuwa wakitoa huduma ya vifaa hivyo huku taasisi ya my service ikiwa na jukumu la kuendesha mradi huo

"Mradi huu ni mzuri katika kuunga mkono jitihada za kukabiliana na maambukizi mapya ya VVU hivyo niwaombe taasisi ya my service pamoja na shirika la MDH kuhakikisha wanafunga mashine hizi kwenye sehemu nyingine zenye mikusanyiko kikubwa ya watu kama Mbezi mwisho, Manzese pamoja na Sinza

Nae mratibu Msaidizi wa mradi wa My service Bi. Tunukiwa Kasambali ameeleza mradi huo umechangia kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kupima Afya zao pamoja na kujikinga Afya zao huku akiiomba serikali kuwapatia mikopo waathirika wote wa biashara za dada poa ambao kwa hiyari wameachana na kazi hizo na kuwa mabalozi wazuri katika jamii






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa