• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA KUTHIBITI UKIMWI UBUNGO YAJENGEWA UWEZO.

Posted on: March 24th, 2022


Wajumbe wa  Kamati ya Kuthibiti UKIMWI Halmashauri  ya Manispaa ya Ubungo wamepatiwa mafunzo elekezi ya namna ya kutekeleza majukumu yao katika kufikia  dira ya Taifa ya kutokomeza kabisa  maambukizi ya virusi vya  UKIMWI ifikapo mwaka 2030


Katika mafunzo hayo, wajumbe wameelezwa kuwa moja ya jukumu la kamati hiyo ni kutoa Elimu sahihi ya VVU na UKIMWI inayoendana na mazingira ya vihatarishi kwa makundi mbalimbali ikiwemo vijana, wanawake, wanaofanya biashara ya ngono na madereva wa vyombo vya moto kwani ndiyo yako kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu.


Akiongea baada ya mafunzo hayo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye ni Naibu Meya wa Manispaa Mhe. Hassan Mwasha amesema kuwa  uundwaji wa Kamati za kudhibiti UKIMWI  ngazi ya Kata na Mtaa ni moja ya mkakati  mzuri katika kuhakisha suala ya mapambano dhidi ya UKIMWI yanafanyika hadi  ngazi ya jamii.


Mwasha ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha waheshimiwa Madiwani na Wenyeviti wa Mitaa  kutekeleza majukumu yao ya kusimamia shughuli zote za mapambano dhidi ya  VVU na UKIMWI katika maeneo yao ili kufikia lengo la kumaliza kabisa janga hili linaloathiri Jamii hususani Vijana ambao ndio nguvu kazi ya  Jamii na Taifa.


Akiwasilisha taarifa ya hali ya UKIMWI katika Halmashauri ya Ubungo, Mratibu wa UKIMWI katika Manispaa hiyo Mercy Ndekeno amesema kuwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi kwa Manispaa ya Ubungo yamepungua kutoka 3.0  kwa mwaka 2020 na kufikia 2.3 kwa mwaka 2021 huku kundi la vijana likiwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi.


Ndekeno amesisitiza jamii kutowanyanyapaa watu wenye maambukizi badala yake waoneshwe upendo na  kuwapa ushirikiano kwa kuhakikisha wanatumia vizuri dawa ili waendelee kufurahia maisha kama watu wasio na maambukizi.


Kuacha ngono zembe na Kupima afya ni hatua muhimu katika kupambana na maambukizi ya VVU na UKIMWI, kila mmoja achukue tahadhari.




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa