• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA SIASA MKOA YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO

Posted on: March 18th, 2022



Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar Es Salaam leo Machi 18, 2022 wamefanya ziara Wilaya ya Ubungo na kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya hiyo.


Katika ziara hiyo, kamati imetembelea mradi wa Ujenzi wa madarasa 20 katika  shule mpya ya sekondari Makabe ikiwa ni moja ya madarasa 151 yaliyojengwa katika shule  21  kupitia  fedha za  UVIKO-19 shilingi Bilioni 3.02.


Aidha, Kamati imepongeza  Manispaa  ya Ubungo kwa juhudi za uendeshaji mzuri wa miradi hiyo kwa kuhakikisha fedha walizopokea zimetekeleza miradi hiyo kwa ufanisi na uweledi


Nae mwenyekiti wa chama Cha Ccm Mkoa Kate Kamba ameagiza miradi yote ya madarasa na madawati  kutunza ili iweze kutumika hata kwa vizazi vijavyo


Niwapongeze watalam wa Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa mradi, pamoja na Wana Makabe kwa kupata shule ambayo imeenda kutatua changamoto ya kufata shule mbali 


Akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amesema kuwa kufikia Machi, 2022  Wilaya ya Ubungo imepokea kiasi Cha shilingi 18,909,220,309.10  kati ya fedha hizo shilingi 5,817,115,398 ni mapato ya ndani , 12,530,340,827 fedha za ruzuku  na shilingi 561,764,083  ni fedha za wadau


Aidha Kheri amewasilisha nyaraka ya Taarifa ya  utekelezaji wa miradi  kwa Mwenyekiti wa chama Mkoa Mheshimiwa Kate kamba 


Aliendelea kwa kusema kuwa kwa upande wa Afya shilingi 3,481,559,956 zimepokelewa kwaajili ya miradi ya maendeleo Kati ya hizo 1,031,000,000 ni mapato ya ndani  na shilingi 2,450,559,956  kutoka serikali kuu na wadau 


 Elimu sekondari imepokea shilingi 9,173,075,421.18  Kati ya fedha hizo shilingi 8,454,891,331 fedha za ruzuku  na 677,200,000 fedha za mapato ya ndani 


Bilioni 1,714,497,430 zimetolewa kwaajili  ya mikopo ya Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu  ambapo vikundi 140 vya Wanawake wamepewa 938,707,430, vikundi 69 vya vijana vimepewa 651,240,000 na vikundi 13 vya watu wenye ulemavu shilingi 124,550,000


Elimu msingi 2,238,389,329 kwaajili ya utekelezaji wa miradi ,TASAF imepokea shilingi 167,891,150 kupitia mpango wa kusaidia kaya maskini


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa