• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA UCHUMI NA HUDUMA ZA JAMII YAPONGEZA KIKUNDI CHA VIJANA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHENYE TIJA

Posted on: August 7th, 2021

Kamati ya Huduma za Uchumi , Afya na Elimu Manispaa ya Ubungo imefurahishwa na uwekezaji unaofanywa na kikundi cha Vijana wanaojishughilisha na shughuli za kilimo na tafiti mbalimbali ikiwa ni jitihada za kujikwamua kiuchumi na kueneza ujuzi wao kwa Vijana wengine.

Kikundi hicho kimenufaika na mkopo wa Halmashauri usio na riba kwa kupewa shilingi Milioni 30 iliyowawezesha kuandaa kitalu nyumba yaani *screen house* na kuanzisha mfumo wa umwagiliaji wa matone hali itakayoongeza uzalishaji.

Wajumbe wa Kamati hiyo wameonesha furaha hiyo baada ya kutembelea kikundi hicho wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya nne iliyoishia Juni 30, mwaka huu na kusema kuwa kikundi hicho kitumike kama shamba darasa Kwa vikundi vingine vya Vijana ambapo vitapata ujuzi wa kilimo cha kisasa na kinachozingatia utalaamu.

"Tunajivunia kuwa na kikundi chenye Vijana wasomi wanaotumia taaluma yao katika kujiajiri lakini pia kutoa ajira kwa Vijana wenzao lakini pia kuwa na uwezo wa kufanya tafiti mbalimbali zitakazoongeza tija katika uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo

Aidha, Kamati imeshauri kikundi hicho kiwezeshwe zaidi na Manispaa  kwa kupatiwa mkopo mkubwa utakaowasaidia kutimiza malengo yao kwani kikundi hicho kina manufaa kwa jamii pia.

Kikundi hicho kinajihusisha na kulima mazao ya bustani, yaani nyanya, hoho na mboga mboga, kufunga samaki, inzi na nguruwe lakini pia kinajihusisha na uzalishaji wa funza  Wenye kiwango  kikubwa cha  protini kwa ajili ya chakula cha samaki.






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa