• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMPENI YA MTI WANGU, UBUNGO YANGU YAENDELEA KUUPIGA MWINGI

Posted on: October 21st, 2023

Ikiwa ni muendelezo wa Kampeni ya Mti wangu, Ubungo Yangu Wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi katika Zoezi la usafi  sambamba na upandaji wa Miti katika maeneo yao.

 tarehe 21 oktoba,2023 Mtaa wa matosa uliopo Kata ya Goba wananchi wamepanda miti pembezoni mwa Mto Mbezi kwaajili ya kuzuia mmomonyoko wa udongo katika maeneo hayo utakaoweza kuleta maafa katika makazi ya wananchi

Zoezi hilo limeongozwa na Diwani wa Kata ya Goba Mhe.Ester Ndoha kwa kushirikiana na Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa mazingira Manispaa ya Ubungo lengo likiwa ni kuimarisha mazingira hasa mazingira ya bondeni kuepukana na mmonyoko wa udongo zitakapotokea mvua kubwa  za El-Nino

Akiwa katika zoezi hilo Mhe.Ndoha amewashuru wananchi wa maeneo hayo kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la  upandaji wa miti na kusisitiza upandaji wa miti uendelee na pia utunzaji wa mazingira ili kuendelea kumsapoti Mkuu wa Wilaya katika zoezi zima la Kupendezesha Ubungo

Aidha, Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Manispaa ya Ubungo Nice Vahaye  amewataka wananchi wa maeneo hayo kuendeleza tamaduni wa kulinda vyanzo vya maji kwa kupanda miti na kuacha kuchimba mchanga  bila ya kuwa na kibali maalumu.

Aliendelea kwa kuwasisitiza kila mmoja awe mlinzi wa mwenzie dhidi ya waharibifu wa mazingira kwa kutoa taarifa pale anapoona uharibifu unafanyika wa uchimbaji wa mchanga katika maeneo yao

Vahaye, pia amewasisitiza wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa za El-Nino zinazotarajiwa kunyesha


Mhe.diwani wa kata ya Goba Ester Ndoha akipanda mti katika kampeni ya Mti wangu,Ubungo yangu iliyofanyika katika kata ya Goba mtaa wa Matosa 














Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa