• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KATIBU TAWALA UBUNGO AISHUKURU RAIWAY CHILDREN AFRICA

Posted on: November 10th, 2023

Katibu Tawala Wilaya ya Ubungo Ndg Hassan Mkwawa ameishukuru taasisi ya Raiway children  Afrika kwa jitihada zao za kusaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani kwa kutoa msaada wa kielimu na mitaji ya biashara kwa wazazi/Walezi wa watoto hao ikiwa ni mkakati wa kupunguza vitendo vya ukatili kwa watoto

Mkwawa ametoa shukrani hizo kwenye kikao kilichohusisha wadau wa taasisi hiyo na wataalamu wa ustawi wa jamii katika wilaya hiyo kilocholenga kutoa picha halisi ya ushirikiano  uliopo kati ya serikali na wadau hao katika kuhudumia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani kwani tatizo hilo ongezeko la watoto wa mitaani  linaongezeka kwa kasi jijini humo.


Mkwawa ameeleza kuwa kutokana na  Ubungo kuwa  lango  la kuingia jijini Dar Es Salaam ikichagizwa na uwepo wa kituo cha mabasi cha Magufuli, Wilaya hiyo imeweka utaratibu wa utambuzi sahihi katika stendi hiyo kuwa msaada ikiwemo kuwarudisha nyumbaninkwao au kuwapeleka kwenye nyumba za makao ili kuwaepusha  watoto hao kwenda mtaani hali inayopelekea  kufanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo ulawiti na kufanyishwa kazi ngumu.

Tangu kuanzishwa kwa utaratibu wa kuwatambua watoto wanakuja mjini bila utaratibu katika kituo cha mabasi cha magufuli zaidi ya watoto 378 wametambuliwa wengine wamerudishwa nyumbani wengine wamepelekwa makao ambapo pamoja na kupatiwa elimu ya malezi lakini pia wanapata elimu ya ufundi wa fani mbalimbali zitakazowasaidia kujiajiri.

Aidha, Wilaya inalishukuru kanisa la KKKT usharika wa kimara kwa kusaidia kuchukua watoto wanaolala maeneo hatarishi ikiwemo daraja la Kijazi na hivyo kuwaepusha na vitendo hatarishi vya kikatili ambavyo vimekithiri katika jamii.

Akiainisha maeneo yanayochagiza watoto kuishi na kufanya kazi mitaani ni pamoja na uwepo wa taasisi ya QNET inayofanya biashara mtandaoni ambapo  kwa Wilaya hiyo ya Ubungo kuna vituo 14  vya taasisi hiyo na kazi yao ni wanashawishi wazazi wa watoto wanaowatafuta kwa mtandao wao  kutoka mikoani kutoa fedha kwa madai ya kuwapa ajira watoto wao.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa