• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAUSAPEU YAREJEA KWA KISHINDO UBUNGO, USAFI WASISITIZWA

Posted on: January 31st, 2026

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, ikiongozwa na Mstahiki Meya Laurent Mlaki, Januari 31 imefufua upya kampeni ya Kataa Uchafu Safisha Pendezesha Ubungo (KAUSAPEU) kupitia zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika katika Kata ya Goba, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kurejesha na kuimarisha hali ya usafi katika manispaa hiyo.

Zoezi hilo lililohusisha ukusanyaji wa taka, usafi wa mitaro, barabara na maeneo ya wazi, lililenga kuzuia milipuko ya magonjwa yatokanayo na uchafu pamoja na kujenga utamaduni wa ushiriki wa wananchi katika kulinda mazingira yao.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Albert Msando, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewapongeza wananchi wa Goba kwa kujitokeza kwa wingi na kuonesha mshikamano ambapo amesisitiza kuwa usafi ni jukumu la kila mwananchi kisheria na si la serikali pekee huku akionya kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa watakaokiuka taratibu za usafi.

Aidha, Msando amezielekeza serikali za mitaa na kamati za mazingira kuhakikisha kila mfanyabiashara anafanya usafi kila siku mbele ya eneo lake, huku akionya dhidi ya wananchi wanaokataa kulipa tozo za taka.

Katika hatua nyingine, ameagiza kandarasi za ukusanyaji taka zichukuliwe kutoka kwa wakandarasi wasiofanya kazi na kupewa vikundi vya vijana na wanawake kupitia mikopo ya asilimia 10, hatua inayolenga kuboresha usafi na kuinua uchumi wa wananchi.

Kwa upande wake, Mstahiki Meya Mh. Lawrence Mlaki ameishukuru Idara ya Mazingira ya Manispaa ya Ubungo, wadau mbalimbali wakiwemo Chama cha Washehereshaji Tanzania, mabalozi wa mazingira, madiwani na wananchi kwa ushiriki wao, huku akiwasihi wananchi kuendeleza usafi hata nje ya siku maalum ambapo ametumia jukwaa hilo kutangaza mpango wa utoaji wa tuzo kwa mitaa itakayofanya vizuri na hatua kwa ile itakayoshika mkia katika suala la usafi.

Hata hivyo,  Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafishaji manispaa ya Ubungo Bw. Lawi Bernard Mgongo amesema wataendelea kutoa elimu ya mazingira kwa jamii na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogo ndogo za usafi ili kuhakikisha Ubungo inakuwa safi, salama na yenye kuvutia kwa wenyeji na wageni.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAUSAPEU YAREJEA KWA KISHINDO UBUNGO, USAFI WASISITIZWA

    January 31, 2026
  • KAMATI YA CAMFED CDC UBUNGO YAPITISHA MAJINA YA WAZABUNI

    January 28, 2026
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYA WA MAPATO-NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU

    January 03, 2026
  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa