• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAYA MASKINI ZAIDI YA 500 UBUNGO KUNUIFAKA NA BIMA YA (UHIF), SERIKALI YATAMBULISHA BIMA KWA WOTE

Posted on: February 1st, 2026

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi wake na kwa awamu ya kwanza serikali imetambulisha bima ya UHIF ( UNIVERSAL HEALTH INSURANCE FUND) ambayo imeanza kwa kugusa kaya maskini kwa kuwapa bima hiyo bila ya malipo ambapo kaya zaidi ya 500 zinatarajiwa kufikiwa kwa wilaya ya Ubungo,  ikiwa na uwezo wa kufanya kazi mwaka mzima na mnufaika akiendelea kupata huduma bure Katika Hospitali zote za Serikali

Kwa Wilaya ya Ubungo kufikia  tarehe 10 februari, 2026 kaya zaidi ya 100 zimeshafikiwa na wananchi hao wameishukuru serikali kwa kuwaona na kuwajali kwani afya ni mtaji

Zoezi hili la utoaji wa bima ya afya (UHIF) kitaifa imeanza rasmi tarehe 1 Februari 2016, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kitaifa wa kuimarisha ustawi wa jamii na kupunguza umaskini. Walengwa wakuu wa bima hii ni kaya maskini zilizonufaika na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), ambao mara nyingi hukabiliwa na changamoto kubwa za kugharamia matibabu.

Kwa upande wa Wilaya ya Ubungo, utekelezaji wa bima ya afya ya UHIF umeanza rasmi tarehe 9 Februari 2026. Kuanzishwa kwa bima hii  kunatarajiwa kuongeza upatikanaji wa huduma za afya kwa kaya nyingi maskini na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu kwa familia husika.

Akizungumza katika Zoezi hili, afisa uanachama mwandamizi Ndg. Gwerino Wisa amesema  bima ya afya ya UHIF inachukua jumla ya watu  6 kwa kaya moja huku Serikali ikiwa imelipia gharama hizo na wananchi kupata matibabu vituo vyote vya afya vya serikali kwanzia ngazi ya zahanati mpaka hospitali ya Taifa Kwa rufaa.

Aidha mratibu wa bima za Afya wilaya ya Ubungo Bi. Leticia Meena amesema Kwa ujumla, bima ya afya ya UHIF ni hatua muhimu katika safari ya kuelekea huduma za afya bure kwa wote. Ushirikiano kati ya serikali na programu kama TASAF unaonesha dhamira ya dhati ya kuhakikisha hakuna mwananchi anayebaki nyuma katika kupata huduma muhimu za kijamii, hususan huduma za afya.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, UBUNGO YAANZA KUJIPANGA

    February 13, 2026
  • MADIWANI UBUNGO WAPITISHA AJENDA ZA MAENDELEO, WASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    February 11, 2026
  • MARUFUKU WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KUGONGA MIHURI NYARAKA ZA MAUZIANO YA ARDHI

    February 11, 2026
  • KAYA MASKINI ZAIDI YA 500 UBUNGO KUNUIFAKA NA BIMA YA (UHIF), SERIKALI YATAMBULISHA BIMA KWA WOTE

    February 01, 2026
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa