• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

Posted on: June 20th, 2025

Kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024 - 2025 (Januari - Machi 2025) huduma mtambuka za lishe zimeendelea kutolewa katika ngazi ya vituo vya huduma za afya katika jamii na katika kaya kwa kushirikiana na idara mtambuka

Akieleza tathmini ya huduma za lishe afisa lishe wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile ameeleza kuwa kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025 huduma za chakula katika shule za msingi na sekondari zimetolewa kwa asilimia zaidi ya 90 huku huduma ya elimu Bora ya lishe kwa mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano katika kata ilifanyika na watoa huduma wa jamii katika mitaa yote



"Jumla ya kaya 6,170 zilifikiwa kati ya 6,702 zilizopangwa sawa na asilimia 92.1. Aidha idadi ya watoto iliyoibuliwa na Hali ya lishe duni imeongezeka katika kata ya Saranga" alisema Mossile

Sambamba na Hilo mkataba wa huduma za lishe kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025 umefanikiwa kuanzishwa kwa wadi za watoto katika hospital ya wilaya ya Ubungo na hospital ya Sinza ili kuwezesha matibabu ya watoto wenye utapiamlo

Nae mganga mkuu wa wilaya ya Ubungo Dkt. Aristides Kalokola Ameweka msisitizo kwa watendaji wa kata kufanya vikao na hamasa mbalimbali kwa wananchi juu ya umuhimu wa lishe Bora hasa kwa Wanafunzi wa shule zote za msingi na sekondari ndani ya Manispaa ya Ubungo


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa