• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KIKAO KAZI CHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO WATUMISHI NA WADAU

Posted on: February 1st, 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo tarehe 31/1/ 2020 imefanya kikao kazi katika ukumbi  wa LA DARIOT uliopo Mbezi na watumishi wote na wadau wa Manispaa kufanya tathmini ya utendaji kazi wa miezi sita (Kuanzia Julai hadi Disemba 2019).

Katika kikao hicho mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya  ya Ubungo Mhe.Kisare Makori na  aliongozana na Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe Boniface Jacob pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic na kamati ya Ulinzi ya Wilaya.

Wakati akifungua kikao hicho Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori alitoa pongezi kwa Manispaa ya Ubungo kwa maendeleo ambayo yanaendelea kufanyika katika Manispaa na kwa kitu walicho kifanya leo cha kuandaa kikao kazi kwa watumishi wote wa Halmshauri  na kutoa pongezi kwa  nafasi ambayo imepata kwa watoto wanaojiunga na kidato cha kwanza kupewa kipaumbele katika kuingia kidato cha kwanza.

Aidha Mkuu wa Wilaya  aliongelea ukamilishaji wa miradi mbalimbali kwa wakati, kujua na kuzingatia thamani ya miradi, uzingatiaji wa sheria."Nipende kuwakumbusha mambo muhimu ambayo Rais wetu wa awamu ya tano anataka tuyafanye na kuyazingatia hasa  Utawala bora wenye usimamizi mzuri wa miradi na  kufanya yale ambayo tunapaswa kuzingatia kama watumishi, na pia suala la rushwa ni kitu ambacho kinapigwa vita na Serikali ya awamu awamu ya tano. alisema DC.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo aliiwasilisha bajeti ya mwaka 2020/2021 ya Manispaa na kuonyesha miradi mbalimbali ambayo inafanyika na kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

"Kama Halmashauri tunategemea  kununua mashine 100 za kukusanyia mapato ambazo tutaanza nazo. Na jambo ambalo tuna changamoto nalo ni uwepo wa Ofisi ya kudumu  kwani ambayo inatumika kwa sasa ni jengo la muda inasababisha watumishi kutokua sehemu moja kutokana na jengo tunalotumia kuwa dogo lakini  ujenzi wa jengo la Manispaa la kudumu bado unaendelea.Pia nipende kuwa karibisha katika vituo vya afya vilivyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo vituo vyetu viko vizuri na huduma zinazotolewa ni za uhakika." Aliongeza Mkurugenzi

Aidha Halmashauri ilitoa vyeti kwa baadhi ya kampuni kwa kutambua mchango wao kwenye kusaidia kusukuma maendeleo ya Wilaya.

Kwa kufunga Mkurugenzi aliwashukuru  wageni wote kwa ujio wao na kuwakaribisha Manispaa ya Ubungo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa