• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KILIMO CHA MCHICHA TIJA KWA MAENDELEO

Posted on: October 8th, 2021

Wakulima Wadogo Wilaya ya Ubungo wamepewa elimu Kuhusu kilimo Cha Mchicha kwa Lengo la kuwaongezea ujuzi katika kuboresha maendeleo ya zao hilo

Mafunzo hayo yametolewa  tarehe 8.10.2021  katika Kituo Cha Mafunzo kwa wakulima  vijana Cha Kibamba Youth  Agripreneur kilichopo Kibamba

Akiongea wakati wa mafunzo hayo elekezi kwa wakulima  Mbunge wa Jimbo la Kibamba Issa Mtemvu  amekipongeza kikundi Cha vijana wa Kibamba youth agripreneur kwa kilimo na ufugaji wakisasa wanachofanya

Nimefurahishwa na kilimo Cha mchicha ambacho nimekikuta hapa, sikutegemea kuona kilimo hichi naikawe fursa kwa vijana wengine.Alieleza Mtemvu

"Mtemvu aliendelea kusema  kuwa fursa hii imetolewa kwenu wakulima mkaifanyie kazi namnapofika kwa wakulima wengine ambao wako mitaani  mkawape elimu hii ambayo itawaisaidia na wao"

Aliendelea kusisitiza  kilimo ni tija na Chachu ya maendeleo na ni fursa kubwa tujielekeze katika kilimo kinamanufaa makubwa hata katika ujenzi wa taifa

Nae Dk.Minja Mtafiti kutoka taasisi ya TARI( Tanzania Agricultural  Research Information) Mikocheni amesisitiza wakulima Kutumia kilimo bora na Cha kisasa kwa kutumia mbegu Bora tano za  mchicha ambazo ni Pori,madira 1 , madira 2, Nguruma na Akeri ambazo  zitaendelea  kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya maghara ya mazao  na kutumika

"Nipendelee kuwashauri kutumia Mchicha kwani ni  lishe  bora kwa afya na uimarisha mwili kwa vitamini" alisema hayo Dk.Minja

Aidha Afisa kilimo,Ushirika na umwagiliaji Manispaa ya Ubungo Happiness Mbelle amemshukuru  Mgeni rasmi nakueleza jitihada ambazo halmashauri inafanya ilikuendeleza kilimo Cha vijana wa Kibamba  youth Agripreneur kwa kuwapatia eneo la hekari 2 katika shamba la Kibesa ambalo linamilikiwa na Halmashauri hiyo

Akishukuru kwa niaba ya wakulima Ester Swebe ameeleza manufaa aliyoyapata kutokana na kilimo na kuwashukuru  wawezeshaji waliotoa elimu kuhusiana na zao la mchicha na pia kuwapongeza maafisa ugani  wa Manispaa  kwa juhudi za kutoa elimu kwa wakulima wadogo



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa