• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KITUO CHA EACLC CHAKAMILIKA 85% , KAMATI YATEMBELEA

Posted on: February 18th, 2025

Kamati ya Fedha na Uongozi Manispaa ya Ubungo imefanya ziara katika kituo kikubwa cha biashara Afrika mashariki ( East Africa Commerce and Logistic Center) kilichopo ilipokuwa stendi ya mabasi ya Ubungo hapo awali na kujionea hali ya ujenzi inayoendelea katika kituo hicho ambapo ujenzi wake mpaka sasa umekamilika kwa asilimia 85 na kuagiza kituo kuendelea kutangazwa zaidi ili wananchi na wafanyabiashara kutoka katika maeneo tofauti waendelee kuja kupanga na kuchukua fremu katika kituo hicho  kikubwa cha kibiashara

Ziara hiyo imefanyika  februari 18, 2025 ambapo wajumbe walitoa maoni tofauti ikiwemo kasi ya kukitangaza kituo hicho iweze kuongezeka ili wananchi na wafanyabiashara waweze kutambua umuhimu wa kituo hicho kibiashara ambacho lengo kuu ni kukuza uchumi wa taifa na kuleta maendeleo kwa taifa


Wakati wa ziara hiyo pia wajumbe waliweza kuonesha maduka yaliyopo katika kituo hicho ambacho kinategemewa kufunguliwa mwezi wa tano na ujenzi wake kwa sasa upo katika hatua za kukamilisha katika ghorofa ya 3 na 4 ukiwa unaendelea.

Akizungumza katika ziara hiyo Mstashiki Meya Manispaa ya Ubungo ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Fedha amesema Manispaa inaendelea kutoa ushirikiano mzuri kwa kituo hicho kwa kuhakikisha kinaendelea kutangazwa na mpaka sasa juhudi zinaendelea kuonekana katika vyombo mbalimbali vya habari  vinavyoendelea kukitangaza kituo hicho.

Aidha, kamati imetembelea Shule ya msingi Kibamba ambapo kuna madarasa 14 yaliyojengwa na kanisa la Yesu Kristo la  Watakatifu wa siku za mwisho na kuwashukuru kanisa hilo kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali kwa Ubungo ambapo wananchi wanaendelea kunufaika na mradi huo ambao umewezesha wanafunzi kusoma katika mazingira mazuri


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa