• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA HURUMA CHILDRENS HOME WATEMBELEWA NA KUPEWA SALAMU ZA SIKUKUU

Posted on: March 26th, 2024

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi  wa Hesabu za Serikali imetembela Kituo cha kulelea watoto yatima cha Huruma Children's Home kilichopo Goba katika Kata ya Goba na  kukabidhi vyakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto hao kutumia shuleni pamoja na mifuko ya simenti 70 ya kusaidia katika ujenzi wa nyumba ya watoto wa kiume inayoendelea kujengwa katika Kituo hicho

Akisoma taarifa ya kituo leo tarehe 26 march, 2024 Mkurugenzi wa Kituo hicho Ndg. William Kitang'a alisema kuwa “kituo kilianza mwaka 2006 katika eneo la Ubungo Msewe na kilianza na watoto 16 na kati yao watoto 8 wakike na 8 wakiume”

Aliendelea kueleza kuwa mpaka Sasa Kituo kina watoto 41 kati yao wavulana 18 na wasichana 23 


Akiongea wakati wa kukabidhi Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere amempongeza msimamizi wa Kituo kwa kusimamia watoto hao ambao wamepata sehemu salama ya kulelewa na Mazingira ya Kituo hicho yako vizuri pamoja na huduma wanazoendelea kuwapa watoto hao

Ni desturi yetu kama ofisi ya ukaguzi kutembelea watoto katika vituo na kula nao lakina katika hicho Leo tumewaletea ili katika  siku zijazo watoto waweze kufurahia. Alisema hayo Kichere

Na pia ofisi ya Mkaguzi imetoa mifuko 70 ya simenti kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya watoto wa kiume inayojengwa mahali hapo lengo likiwa ni kuhakikisha kila mtoto aliyepo katika Kituo anafurahia Mazingira hayo.

Na pia Kichere aliendelea kwa kuwapongeza na kuwataka kuendelea kuwalea watoto hao kwa moyo mmoja ili na wao waweze kukua na kujitegema" 

Akishukuru kwa niaba ya Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Ubungo Hilda Malosha amewashukuru Ofisi ya Taifa ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kwa kutembelea Kituo kicho na kuwakaribisha tena kuendelea kutoa misaada mbalimbali kwa watoto hao





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa