• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KITUO CHA RASILIMALI KILIMO KIBESA CHAPOKEA UGENI KUTOKA CHUO CHA MAJI

Posted on: June 13th, 2020

 Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji  na Ushirika Happiness Mbelle amepokea ugeni wa wanafunzi kutoka chuo cha Maji  (Water Institute) waliokuja kujifunza teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone(Drip Irrigation).

Kituo hicho kina eneo la ukubwa wa ekari 28  lililopo Kata ya Mbezi Mtaa wa Mpigi Magohe eneo la Kibesa na jumla ya Vikundi vitatu 3 vya vijana ambavyo ni Youth Confiderative versus poverty, kikundi cha Vijana wakulima Mapambano kilichopo kata ya Mbezi (kibesa) na kikundi cha vijana shupavu kutoka Kata ya Kibamba ambavyo vimefanikiwa kuanza uzalishaji katika eneo husika.

Aidha vikundi hivyo vilipata  mkopo wa 10℅ kutoka katika mfuko wa vijana na walemavu  kupitia Idara ya maendeleo ya jamii na vimefanikiwa kuzalisha mazao mbalimbali kama (mahindi,miogo,viazi,hoho,bamia n.k)

Halmashauri imeendelea kushirikiana na wadau wa kilimo IITA katika kuhakikisha vikundi vinapata elimu bora,msaada wa pembe jeo  na elimu ya kanuni bora za kilimo ili kuhakikisha wanazalisha kwa tija ilikufikia uchumi wa kati wa viwanda. Alisema hayo Happiness Mbelle

"Pia kupitia mradi huo taasisi mbalimbali zimeshawishika kuja kujifunza na mikakati iliopo ni kujenga nyumba ya kijani(Green house), visima na majengo yatakayotumika kama madarasa ya kufundishia wakulima na kutengeneza jengo la usindikaji (Agricultural Processing Industry) ili kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa" Aliongezea Happiness Mbelle

Tunaendelea kuomba wadau na  mtu mmoja mmoja wanaotuzunguka kutoa ushirikiano ili tufikie malengo. "Sambamba na hilo Happiness Mbelle alisema kuwa  mradi una  changamoto kubwa ya maji"

Nae mshauri  wa wanafunzi kutoka chuo cha maji Ndg.Alistides Alfred alishukuru kwa elimu ambayo wanafunzi wameipata kutoka kwa Afisa  Kilimo wa Manispaa kwani imeongeza ufanisi na imewajenga wanafunzi kitaaluma zaidi na kuhaidi kushirikiana na Afisa Kilimo bega kwa bega katika kuhakikisha tatizo la maji linatatuliwa kwa kupitia wataalam kutoka katika chuo hicho.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa