• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KOMBA ATATUA KERO YA WANANCHI WA MSAKUZI

Posted on: October 16th, 2023

Siku ya jumatatu ntatembelea maeneo yote ambayo DAWASA wanasema tayari wamelaza mabomba kwa asilimia 43% ili nihakikishe maeneo hayo kama kweli kazi hiyo imefanyika 

Hayo ameeleza  tarehe 16 oktoba,2023 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hashim Komba alipotembelea Mtaa wa msakuzi uliopo  kata ya Mbezi kwaaajili ya kutatua changamoto ya wananchi wa maeneo hayo wakiomba kupatiwa maji kwani maeneo mengi yamekuwa na ukosefu wa maji

Akifafanua komba alisema kuwa Wilaya ya Ubungo imekua na changamoto ya maji kwa mda mrefu na Serikali imefanyia kazi swala hilo.

Tuipongeze serikali ya awamu ya sita ya Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa inayofanywa kutuletea vyanzo vya maji ikiwemo tanki la mshikamano,Tegeta A

Komba,amemwagiza enginer magoma kutoka dawasco ifikapo  kesho mabomba yaweze kufika katika maeneo yote ambayo yanahitajika ikiwemo mtaa wa upendo n.k na ifikapoa jumatatu mashine kwajili ya kuchimba iwe imefika site kwaajili ya kutatua mgogoro  huo

Katika maeneo ambayo tayari mmeshalaza bomba maeneo hayo yaanze kutoa maji na niwaahidi wananchi wa msakuzi katika swala hili la maji linaenda kutatuliwa na mmepata bahati ya kupata viongozi bora wanaozungumza changamoto zenu wakati wote.alisema  hayo komba

Aidha, Komba alisema kuwa kuhusu Zahanati ya Msakuzi hatua ilipofika ni nzuri ila jengo hili linatakiwa kumaliziwa haraka iwezekanavyo ili lisiendelee kuchakaa niwaahidi jambo hili kulifanyia kazi kwa haraka

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba akiwa na wananchi wa mtaa wa Msakuzi katika utatuzi wa kero za wananchi wa mtaa huo
















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa