• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KONGAMANO LA WANAFUNZI - DAR ES SALAAM GIRLS, WASISITIZWA KUJITAMBUA NA KUZINGATIA MASOMO

Posted on: March 5th, 2025

Kuelekea siku wanawake Duniani tarehe 8 machi, 2025 Manispaa ya Ubungo imefanya kongamano la wanafunzi katika shule ya wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam iliyopo Kwembe kwa  kutoa elimu ya mambo mbalimbali  lengo likiwa ni kuwajengea uwezo waweze kujitambua, kujithamini, kuzingatia masomo ili waweze kutimiza malengo yao

Akizungumza katika kongamano hilo mwezeshaji Lilian Mwasha amewataka wanafunzi hao kujitambua, kujithamini na kujijali ili waweze kufikia malengo yao ya baadae

Lilian, amewaeleza katika kuelekea siku ya wanawake Duniani amewataka kutambua umuhimu wa kuthamini utu wao, masomo, kumcha mungu katika maisha yao ili waweze kufikia malengo yao

Aidha, mwezeshaji Deo Sukambi mbaye pia ni mwana saikolojia amewataka wanafunzi hao kuachana na ngono zembe na kuzingatia masomo sambamba na kujua umuhimu wao kwa kuthamini miili yao ili waweze  kutengeneza malengo yao ya baadae

"Hakuna umuhimu wa mtoto kubeba migogoro ya familia, zingatia yale ambayo wewe kama mtoto yatakujenga. Kubeba matatizo ya familia yatapelekea kupoteza mwelekeo katika masomo yako" amewasisitiza Deo

Aidha, katibu tarafa wa Wilaya ya Ubungo Beatrice Mbawala amesema kuwa lengo la kumbukumbu ya maadhimisho hayo amewaeleza faida zitakazopatikana endapo wakijitambua na kuthamini utu wao na kuwaeleza umuhimu wa kuzingatia masomo

Nae, mwanafunzi Mariam Musa katika Shule hiyo ameshukuru wawezeshaji wa kongamano hilo ambalo limelenga kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali yanayojenga jamii bora na wao kama wanafunzi wanaenda kuzingatia yale yote yaliyofundishwa

N.B Kesho tarehe 6/3/2025  Ubungo inaadhimisha siku ya wanawake kiwilaya katika viwanja vya Manispaa hiyo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa