• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, UBUNGO YAANZA KUJIPANGA

Posted on: February 13th, 2026

Kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo maadhimisho yake huanza kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 8 machi kila mwaka Manispaa ya ubungo kupitia Idara ya maendeleo ya jamii imefanya Kikao chake cha kwanza na wadau mbalimbali lengo likiwa ni kujadili mikakati na Mipango itakayosaidia Katika siku hiyo muhimu kufanyika.

Maadhimisho hayo kwa mwaka 2026 yanaenda sambamba na Kauli mbiu isemayo "Haki na Usawa kwa wanawake na wasichana, Msingi jumuishi kufikia dira 2050" na kwa mwaka huu maadhimisho hayo kimkoa yatafanyika Wilaya ya Ubungo ambapo yatakuwa tarehe 7 na 8 mwezi machi.

Kikao hicho kimefanyika februari 13, 2026 ambapo wajumbe waliweza kujadili mambo mbalimbali yaliyolenga kuhakikisha kila mmoja anashiriki siku hiyo muhimu kwa Wilaya nzima na pia kufuata miongozo muhimu  iliyotolewa kwa ajili ya kuratibu siku hiyo

Katika maadhimisho hayo kwa mwaka huu 2026 Ubungo imejipanga na  mambo mbalimbali  yatakayofanyika siku hiyo muhimu ikiwemo, kuratibu maandamano ya hiari, utoaji  wa tuzo kwa wanawake vinara, pamoja na kutembelea

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, UBUNGO YAANZA KUJIPANGA

    February 13, 2026
  • MADIWANI UBUNGO WAPITISHA AJENDA ZA MAENDELEO, WASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    February 11, 2026
  • MARUFUKU WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KUGONGA MIHURI NYARAKA ZA MAUZIANO YA ARDHI

    February 11, 2026
  • KAYA MASKINI ZAIDI YA 500 UBUNGO KUNUIFAKA NA BIMA YA (UHIF), SERIKALI YATAMBULISHA BIMA KWA WOTE

    February 01, 2026
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa