• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

LAAC YAFURAHISHWA NA MIPANGO ZA MANISPAA YA UBUNGO JUU YA SOKO LA MABIBO.

Posted on: March 17th, 2023



Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) imeipongeza Manispaa ya Ubungo kwa juhudi za kuhakikisha soko la Mabibo kuwa ni soko lenye kuwanufaisha wananchi wote wa Manispaa hiyo.


Pongezi hizo amezitoa leo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Halima Mdee Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ziara waliyoifanya ndani ya Manispaa hiyo.


Hayo yamejiri kufuatia suala la eneo la soko hilo ambalo hapo awali lilikabidhiwa kwa viongozi wa soko hilo na baadae kupelekea kutoweza kusimamia vyema soko hilo kwa maana ya kutokutoa taarifa za mapato na matumizi, na kutosimamia vyema usafi na utunzaji wa mazingira ya soko hilo na kupelekea mazingira hatarishi kwa wananchi na wajasiriamali kwa ujumla ndani ya soko hilo

Akifafanua suala hilo Mkurugenzi wa Manispaa amesema soko hilo kwa sasa lipo chini ya eneo la kiwanda cha nguo Urafiki na tayari pande zote kwa maana ya Manispaa na Kiwanda hicho wamekubaliana soko hilo lisimamiwe na Manispaa hiyo na kwa sasa taratibu zingine zinaendelea kufuatwa ikiwemo ya kupata umiliki halali wa soko kwa maslahi ya wananchi kwani tayari Serikali imeamua soko lisimamiwe na Manispaa hiyo.


Kamati hiyo imeitaka wizara ya TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi kuhakikisha kuwa suala la umiliki wa ardhi ya soko hilo linafanyiwa kazi haraka ili kuondoa mvutano uliopo na mchakato wa kuliendeleza soko hilo uendelee kwa maslahi ya watanzania.


“Nimefurahishwa na hatua ya halmashauri ya Ubungo kushirikisha wadau wote wa soko wanashirikishwa juu ya uendeshwaji wa soko hilo na wote kwa pamoja kuona ni vyema soko hilo lisimamiwe na Manispaa kwa maslahi ya wananchi wote” alisema Mdee.


Kwa upande wake Mhe. Jesca Msambatavangu Mbunge wa Iringa Mjini amesema Serikali lazima ione umuhimu wa haraka wakuhakikisha suala hili linaisha kwa kuhakikisha Manispaa inapata hati na kulisimamia vyema soko hilo kwa maslahi ya wananchi wetu.


“Eneo hilo tayari kwa sasa lina wajasiriamali wengi na bado mara kadhaa Manispaa imekuwa ikihakikisha soko hilo linakuwa na mazingira salama kwa maana ya usafi wa soko hilo kwani wajibu wa Serikali ni kuwahudumia wananchi” alisema Mhe. Msambatavangu.


Kamati hiyo imefanikiwa kutembelea Mradi wa nyumba za kupangisha (Ghorofa) ambazo Manispaa hiyo inapata mgao wa mapato yake zilizopo eneo la Oysterbay.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa