• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAADHIMISHO YA LISHE YAWAGUSA VIJANA

Posted on: October 30th, 2023

Wakati Taifa linaadhimisha siku ya lishe kitaifa kwa kaulimbiu isemayo "Lishe Bora kwa Vijana Balehe, Chachu ya Maendeleo yao" Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekuwa ikitekeleza kwa vitendo kaulimbiu hiyo kwa kutoa elimu ya lishe pamoja na kuhamasisha kuanzisha bustani  za mbogamboga katika shule za msingi na sekondari kwa ajili ya chakula.

Hayo yameelezwa  tarehe 30 oktoba,2023 na Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile kwenye maadhimisho ya lishe kitaifa ambapo kwa Manispaa ya Ubungo yamefanyika katika Mtaa wa king’azi kata ya kwembe na kueleza kuwa maadhimisho hayo ni muhimu sana kwa vijana kwani ndio nguvu kazi ya jamii na Taifa kwa ujumla

Mossile Aliendelea kueleza kuwa, vizuri kuzingatia lishe bora ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya ukuzaji wa uchumi.

Mossile amesema kuwa, Halmashauri imekuwa ikitoa elimu kupitia kamati ya lishe ya Manispaa ambapo baadhi ya shule zimehamasishwa kuanzisha bustani za mbogamboga kwa ajili ya chakula, kuwapa elimu kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na wanafunzi ili kujenga uelewa kwa kundi hilo muhimu kwa kuzingatia lishe bora kwa ajili ya  kuwa na afya njema kimwili na kiakili.

Aliendelea kusema kuwa, Katika maonesho hayo Walengwa ni vijana wa miaka 10 hadi 19 kwani ndio umri  wa balehe na ndio kipindi cha mpito na tabia za ulaji usiofaa  huweza kujengeka  ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta, sukari na chumvi kwa wingi na kutokula mbogamboga na matunda kwa wingi kutokana na uhuru wa kujichagulia vyakula

Aidha,Kulingana na takwimu za sensa za mwaka 2022, inaonesha kuwa asilimia 25 ni vijana wa umri kuanzia miaka 10 hadi 19 na wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe, ikiwemo upungufu wa madini joto na unene ulikithiri ndio maana wamama wajawazito wanasisitizwa kuzingatia siku 1000 kwa mtoto kwa kula vyakula vyenye lishe ili kuwa na watoto wenye afya bora.

Nae, Lightness Mtega mwanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Dar es Salaam Girls akiwakilisha vijana hao ameleza kuwa maadhimisho haya ni muhimu sana kwa vijana kwani ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla hivyo ni vizuri kuzingatia lishe bora ambayo ndiyo msingi wa maendeleo.


Afisa lishe  Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile katika kilele cha maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa ambapo Manispaa ya Ubungo iliadhimisha katika Kata ya Kwembe 

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa