• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII UBUNGO WAJENGEWA UWEZO KUHUSU HUDUMA ZA LISHE NA TASAF

Posted on: April 9th, 2024

Maafisa maendeleo ya jamii Manispaa ya Ubungo  waaswa kuendelea kutoa elimu kwa jamii na kaya za Tasaf kuhusiana na huduma bora za lishe kwa kuzingatia ulaji wa makundi muhimu ya chakula sambamba na kuzingatia usafi 

Mafunzo hayo yametolewa tarehe 9/4/2024 na Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile akitoa elimu kwa maafisa maendeleo kuhusu umuhimu wa kutoa elimu kwa jamii kuzingatia masuala ya huduma za  lishe

 

Akizungumza Mossile amesema kuwa ni muhimu jamii ikaelezwa umuhimu wa kuzingatia usafi majumbani, sehemu za biashara na maeneo yaliyowazunguka lengo likiwa ni kuwaepusha na magonjwa ya milipuko ikiwemo kipindupindu

Aliendelea kuwasisitiza kwenda kutoa elimu kwa jamii  kuhusu lishe inayozingatia makundi sita ya vyakula ambavyo hutengeneza mlo kamili ambao kila mwanadamu anastahili kuvipata.

Vyakula vya mafuta mengi, vyakula vilivyosindikwa na vyenye sukari si salama kwa afya ya jamii hivyo ni muhimu jamii ikapewe elimu waweze kula kwa kiasi ili kujiepusha na maradhi. Alisisitiza Mossile

Mkaendelee kuwakumbusha jamii kuwa "kunywa maji ni muhimu kwa kulinda Afya ya mwili na tuepukane na kunywa dawa bila ya ushauri wa daktari" alisisitiza Mossile

Aidha, Afisa kilimo Linais Njau Manispaa ya Ubungo amezungumzia kuhusiana na kilimo cha mjini na  kuwataka maafisa maendeleo kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na kilimo cha mjini ambacho kina faida nyingi hasa katika kuwezesha kujikwamua kiuchumi, lishe ya nyumbani na faida nyingine mbalimbali

"Kilimo sio lazima kiwe Kijijini hata mjini unaweza kufanya kilimo cha kisasa na hata majumbani kikatumika kama maua kwa ajili ya kupendezesha nyumba" aliendelea kusisitiza Njau





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa