• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAAFISA USTAWI MANISPAA YA UBUNGO WAENDELEA KUTOA ELIMU YA UVIKO-19.

Posted on: December 15th, 2021


Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii imefanikiwa kutoa  huduma ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia kwa kutoa elimu kwa wasafiri 73, jumla ya watu 33 masokoni , na pia kutoa msaada kwa watu 12 ambao ni wahanga wa UVIKO – 19.

Akiwasilisha taarifa hiyo katika kikao kilichofanyika tarehe 15/12/2021, Afisa Ustawi wa Manispaa ya Ubungo Zainabu Masilamba ameeleza kuwa wamefanikiwa kutoa elimu ya kujikinga na ugonjwa wa  UVIKO - 19 kwa wamiliki 605 wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana (Day Care Centers) kwa kipindi cha kuanzia Machi, 2020 hadi Novemba, 2021.

Aliendelea kwa kuwasilisha taarifa ya mafanikio na mikakati ambayo itaendeleapo kutekelezwa kwa ajili ya kutoa huduma kwa watu na makundi maalum hasa yanayohusu maswala ya kupinga ukatili wa wanawake na watoto pamoja na kuwalinda na UVIKO-19.

Aidha alielezea moja ya mikakati yao ni kuendelea kufanya kazi bega kwa bega na Wadau na kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu kuchukua tahadhali ya kujikinga na UVIKO 19 ikiwa ni pamoja na kuchanja chanjo yake.

Nae Afisa Kilimo Manispaa ya Ubungo Stella Nzelu alitoa elimu ya uzingatiaji wa lishe bora ikiwa ni njia mojawapo ya kujikinga na UVIKO - 19 kwani lishe inasaidia kujenga kinga ya mwili na hivyo kusaidia kupambana na UVIKO - 19.

Pia Afisa Afya wa Manispaa ya Ubungo  Iqbal Janja ameelezea kuwa wao wameweza kufanikiwa kwa kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata elimu ya kujikinga na UVIKO-19 lakini pia kuendelea kuhakikisha wananchi waendelea kupata chanjo na  wameweza kwenda kwenye mikusanyiko ya watu na kutoa elimu ya kujikinga na UVIKO-19 na kushawishi  kuchanja chanjo ya UVIKO-19.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa