• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAAFISA WA AFYA UBUNGO WAPATIWA MAFUNZO YA MATIBABU YA MATUMIZI YA VYAKULA VYA ASILI KWENYE KUKABILIANA NA UTAPIAMLO

Posted on: April 10th, 2025

Ugonjwa wa utapiamlo Bado umeendelea kukumba idadi kubwa ya watoto chini ya miaka mitano hali inayopelekea kuzorota kwa afya za watoto hao kutokana lishe duni, changamoto za kiuchumi, pamoja na kukosa elimu ya kutosha kuhusu makundi mbalimbali ya vyakula miongoni mwa wazazi na walezi wa watoto hao

Mapema  April 10, 2025 Manispaa ya Ubungo kupitia idara ya afya, ustawi wa jamii na Lishe imefungua mafunzo  kwa waratibu wa afya wa makao makuu ya Manispaa, wauguzi, wafamasia, maafisa lishe, ustawi wa jamii na madaktari kutoka hospitali na Vituo mbalimbali vya Afya ndani ya Manispaa ya Ubungo

Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hospitali ya wilaya ya Ubungo Kimara Baruti ambapo yamefunguliwa na Bi. Rehema Panga ambaye amemuwakilishi mganga mkuu wa Manispaa ya Ubungo

Akitoa mada katika mafunzo hayo mwezeshaji wa mafunzo afisa lishe wa Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Mossile amesema kuwa Manispaa ya Ubungo itaanza kutekeleza mpango maalumu wa kutibu utapiamlo kwa njia za vyakula vya asili ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika hospital ya wilaya pamoja na hospitali ya Sinza, Palestina

Aidha, Mossile ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo inakabaliwa na tatizo la utapiamlo kwa kipengele cha ukondefu asilimia 1.2%, na udumavu 1.1% Kwa watoto wa miaka 0 - 5 Ambapo amewataka wana mafunzo hayo kuyatumia vema mafunzo hayo ili yakalete tija katika kuwahudumia watoto wenye changamoto ya utapiamlo huku wakizingatia mazingira ya Dar Es Salaam na vyakula vinavyopatikana

Sambamba na Hilo mwezeshaji mwingine Bi. Germana Gasper ameeleza kuwa utapiamlo unachangia asilimia 53 ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano nchini hivyo amesisitiza juu ya umuhimu wa kutoa elimu kwa wazazi na walezi wenye watoto juu ya dalili za utapiamlo ili matibabu yake yaanze mara moja baada ya kugundulika

Kila mtoto ni muhimu, Kila Mmoja atimize wajibu wake.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa