• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAAZIMISHO YA SIKU YA AFYA YA MACHO DUNIANI, UBUNGO MANISPAA.

Posted on: October 12th, 2023

Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya macho tarehe 12/10/2023 imeungana na Dunia katika kuazimisha siku ya afya ya macho duniani ambayo imeenda sambamba na kauli mbiu isemayo “penda macho yako mahali pa kazi”

Akiongea katika maazimisho hayo Kaimu Mratibu wa huduma za macho Manispaa ya Ubungo Dkt. Shubira Bachuba ameeleza kuwa tatizo la uoni hafifu na upofu linaendelea kuongezeka kwa kasi kubwa Duniani ambapo inakadiriwa watu Bilioni 1.1 wana uoni hafifu wa mbali na karibu na asilimia 90 ya watu hao wanaweza kuzuia hali hiyo.

Dkt. Bachuba ameendelea kueleza kuwa kwa Tanzania 0.5 - 1% ya wakazi wote ni vipofu huku Manispaa ya Ubungo kwa kipindi cha miaka minne mfululizo kuanzia 2018 - 2022 idadi ya watu wenye uoni hafifu na upofu imeendelea kuongezeka kutoka watu 17 hadi kufikia watu 30

Akiongelea mafanikio yaliyofikiwa juu ya uboreshaji wa huduma za afya ya macho Dkt. Bachuba ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo imefanikiwa kufanya huduma ya Mkoba lengo ikiwa ni kufanya uchunguzi na kutoa elimu ya afya ya macho kwenye jamii na shule mbalimbali sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wasio wa macho namna ya kutoa matibabu kwa wagonjwa wa macho na matumizi sahihi ya dawa za macho

Aidha, Dkt. Bachuba ameendelea kueleza kuwa kwa mwaka huu 2023 katika kuazimisha siku hii Manispaa ya Ubungo ilifanikiwa kupima afya ya macho kwa watumishi mbalimbali wa Manispaa hiyo na jumla ya watumishi 1834 walihudumiwa katika vituo mbalimbali ikiwemo ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi, Kituo cha mabasi cha Magufuli na vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya

Akimuwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo katika maazimisho hayo Dkt. Tulitweni Mwinuka ametoa rai kwa watumishi na wananchi kwa ujumla kuwa na utaratibu wa kupima afya mara kwa mara ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya macho

Wadau walioshiriki kutoa huduma za macho kwenye vituo mbalimbali katika kuazimisha maazimisho haya ni pamoja na Dr Agarwals eye Hospital, Interantional eye Hospital, Vision care center Goba, Sunsight Sinza, Optical Center Mbezi, A1 Solution Mbezi, Msamaria Seko eye center


pichani ni Mtumishi akipimwa macho 
















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa