• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

Posted on: November 15th, 2025

Mtandao wa Mabinti wanaonufaika na ufadhili wa masomo wa shirika la CAMFED, CAMA (Camfed Association) Wilaya ya Ubungo  Novemba 15, 2025 wamefanya mkutano Mkuu wa Mwaka kwa kusherehekea mafanikio ya kila mmoja wao na kupeana Hamasa zaidi katika Kujikwamua kiuchumi.

Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Cape diem Mabibo, ukiwakutanisha mabinti takribani 200 ambao ni sehemu ya wanufaika wa ufadhili wa elimu kutoka Camfed waliohitimu na wanaondelea na masomo shule za sekondari na Vyuo vikuu.

Akisoma risala kwa mgeni rasmi Mwenyekiti Mwajuma Idrisa, Amesema Kupitia programu ya CAMFED na mtandao wa CAMA, wamepata elimu pana isiyokuwa ya darasani pekee bali pia wamejifunza ujasiriamali na stadi za maisha (life skills), uongozi na ujasiri wa kijinsia, elimu ya afya na ulinzi wa mtoto wa kike, na maadili ya uzalendo na uwajibikaji katika jamii. Elimu ambayo imewasaidia kujitambua, kujitegemea, na kuwa mabalozi wa mabadiliko chanya katika familia na jamii.

“Kauli mbiu yetu kwa mwaka huu ni “Archiving more girls support, Archiving together” Wengi wetu sasa tumejiunga na vikundi vya ujasiriamali, tunawashauri wasichana walioko mashuleni, na tunashiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii kama usafi, upandaji miti, na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana.Lakini pia shirika linatupatia mitaji na mikopo isiyo na riba ili tujikwamue katika wimbi la umasikini ” Mwajuma.

Mgeni Rasmi Ndg. Voster Mgina, Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa ya Wilaya ya Ubungo, Akizungumza na mabinti waliokusanyika amewapongeza kwa kujituma kufanya shughuli za maendeleo na kuwasihi waendelee kuwalea wadogo zao waliopo masomoni wanaofadhiliwa na CAMFED. “Kwa Jitihada mnazoweka kwenye shughuli zenu, niwakumbushe kujiwekea malengo, kujiamini na kusimamia misingi ya malezi mliyopewa na mtafika mbali sana. Mimi nawaunga mkono kwa kuwalipia Ukumbi kwaajili ya Mkutano mkuu wa mwaka 2026 na kuwasimamia katika mpango wa kupata mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri”.

Mtandao wa CAMA Wilaya ya Ubungo hadi sasa una wanachama hai 2000. Mkutano huo umehitimishwa kwa kutoa pongezi kwa Mgeni rasmi, Mratibu wa CAMFED Wilaya na viongozi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 14, 2025
  • UBUNGO YAKABIDHIWA MICHE 200 YA MIANZI KUTOKA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO

    November 13, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa