• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MADIWANI WA MANISPAA YA UBUNGO WAPIGWA MSASA

Posted on: December 9th, 2020

Madiwani 22 toka kata 14 za Manispaa ya Ubungo jijini Dar Es Salaam leo tarehe 9 desemba, wamepatiwa mafunzo maalum ya maadili na utawala bora ikiwa ni imepita siku moja tu tangu waapishe.


Mafunzo hayo  ambayo yanafanyika  kwa muda wa siku mbili  katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo, yanalenga kuwajengea uwezo wa namna ya kutekeleza majukumu yao Kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma.

Waheshimiwa madiwani wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyotolewa na wataalamu kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo


Akifungua mafunzo hayo Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, katibu Tawala wa Wilaya hiyo James Mkumbo  amewataka madiwani hao kusikiliza kwa makini mafunzo hayo ili yawasaidie katika kusimamia vyema sheria, kanuni na taratibu za utawala bora katika kuwaletea wananchi maendeleo.

"Haya mafunzo yamekuja wakati mwafaka ukizingati Jana tu waheshimiwa Madiwani mliapishwa rasmi, hivyo mafunzo haya yatawafanya muwe na uelewa mzuri wa namna ya  kutekeleza majukumu yenu bila kuvunja Sheria" alieleza Mkumbo.

Aidha, Mkumbo amewaambia viongozi hao kuwa,  "nimategemeo yangu baada ya mafunzo hayo  yatawasaidia kujua mipaka ya kazi ya utendaji na hivyo kushirikiana kikamilifu na wataalamu kuanzia ngazi ya mtaa Hadi Halmashauri katika kufikia maendeleo"

"Mutaelekezwa mambo mbalimbali ikiwemo usimamizi wa  miradi na ukusanyaji wa mapato, niwasihii Sana mkasimamie kwa nguvu zote ukusanyaji wa mapato maana ndio njia ya kupeleka maendeleo Kwa wananchi kwa vitendo.

 Mwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka chuo cha Serikali za Mitaa  Hombolo  Dkt. Kisumbe Lazaro amesema lengo la mafunzo ni kuwajengea uwezo na mbinu za ushawishi ili kuleta mapokeo chanya kwa wananchi katika utekelezaji wa shighuli za kuwaletea wananchi  maendeleo hususani utekelezaji  miradi ya maendeleo.

Wakati huohuo, waheshimiwa Madiwani walioshirki mafunzo hayo, wameiponheza menejimenti ya ya Manispaa ya Ubungo Kwa kuandaa mafunzo hayo ambayo yatawafanya wawe viongozi Bora na sio Bora viongozi katika kutekeleza majukumu yao kama viongozi.

Wameendelea kusema kuwa mafunzo hayo yamewaongezea uelewa na uwezo wa kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo kuanzia ngazi ya Mitaa, kata na Halmashauri Kwa ujumla hususani suala la ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa Miradi

waheshimiwa madiwani wakila moja ya  kiapo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa