• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU CHANJO YA SURUA RUBELA YATOLEWA

Posted on: February 14th, 2024

Mafunzo elekezi kwa watoa huduma ya chanjo ya Surua Rubella( wachanjaji na watunza takwimu)  kwa watoto wa umri kuanzia miezi 9 hadi umri chini ya miaka 5 inayoenda kuanza tarehe 15/2/2024  hadi tarehe 18/2/2024 yametolewa  tarehe 14 Februali, 2024 katika ukumbi wa Lapaz-Luguruni ikiwa ni kuwajengea uwezo wa utoaji wa chanjo hiyo

Lengo la chanjo hiyo ni kumlinda na kumkinga mtoto dhidi ya madhara yatokanayo na Surua Rubela

Akifungua mafunzo hayo Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt. Tulitweni Mwinuka amesema kuwa chanjo  hiyo inalenga kuwafikia watoto 124,000 kwa Wilaya ya Ubungo na  katika kila eneo ni muhimu watoto wanaolengwa kupatiwa chanjo hiyo wapatiwe

Mwinuka aliendelea kuwaasa wachanjaji kuhakikisha wanaendelea kuwapa elimu  walezi,mama na baba katika sehemu mtakazo pangiwa kutoa chanjo hiyo ili kuwajengea uelewa kuhusu  umuhimu wa mtoto kupata  chanjo hiyo.


Mwinuka aliendelea kuwasisitiza pia  wachanjaji wote kuhakikisha wanapoenda kutoa huduma wanasimamia zoezi hilo kwa kuweka data kamili na kufanya kazi kwa kufikia lengo na sio kutengeneza taarifa zisizo na ukweli

Akishukuru kwa niaba, mmoja kati ya wachanjaji atakaye toa chanjo hiyo  ameishukuru Manispaa ya Ubungo kupitia idara ya afya kuwezesha mafunzo hayo na kuahidi kwenda kuyafanyia kazi kwa weledi na kuhakikisha chanjo inaenda kutolewa kwa watoto wote wenye umri wa kuanzia miezi tisa na chini miaka mitano

Ewe mzazi, mlezi, baba na mama mpeleke mwanao kwenye kituo Cha Afya kilichokaribu na wewe akapate chanjo.







 



 







Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa