• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA YAZINDULIWA

Posted on: August 4th, 2025

Manispaa ya Ubungo imezindua mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata.Maafisa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wasisitizwa kuzingatia Sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa Katiba.

 Halmashauri ya Manispaa Ubungo  Agosti 4, 2025 imezindua mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata yanayotarajiwa kufanyika kwa muda wa siku tatu ambapo Wasimamizi Wasaidizi 42 wa Kata 14 za Manispaa hiyo wameshiriki Mafunzo hayo ambayo yanalenga kuwajengea uwezo wa namna ya kusimamia uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akifungua rasmi mafunzo hayo, Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Majimbo ya uchaguzi ya Kibamba na Ubungo, Rose Mpeleta amewataka Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata kuzingatia mafunzo wanayopewa ili yawasaidie kutekeleza jukumu la kusimamia uchaguzi utakaofanyika mwezi Oktoba 2025. Pia amesema mafunzo hayo yatawajengea uwezo wa kuzielewa Sheria, kanuni, taratibu, miongozo na maelekezo mbalimbali kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Aidha, Mpeleta amewahimiza Maafisa hao kusoma na kuelewa vizuri Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hasa Sheria na Kanuni za uchaguzi, ili kujua vizuri majukumu yao na namna ya kuyatekeleza kipindi chote cha mchakato  mzima wa uchaguzi.

"Mnategemea kuwajibika ipasavyo kwa tume ya uchaguzi kama mlivyokula kiapo cha kuitumikia Tume ya Uchaguzi. Mafunzo haya yawasaidie kuwajengea uwezo, badilishaneni uzoefu kupitia mijadala inayoendeshwa hapa kwenye mafunzo,". Amesema Mpeleta.

Kabla ya kuanza kupata mafunzo hayo, Maafisa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata walikula kiapo cha kukana uanachama wao kwa vyama vya siasa, na kutojihusisha na shughuli zozote za vyama vya siasa kwa muda wote ambao wataitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi mbele ya hakimu wa mahakama ya Tanzania Willium Julius Kaaya

Vile vile, mafunzo hayo yamehudhuriwa na mratibu wa tume huru ya Uchaguzi kwa Mkoa wa Dar Es Salaam ndugu Gerald Sondo ambaye amesisitiza kutekeleza majukumu kwa kuzingatia kanuni, miongozo, Sheria na taratibu za tume huru ya uchaguzi


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa