• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAKALLA AHITIMISHA ZIARA UBUNGO KWA KUTEMBELEA JIMBO LA UBUNGO

Posted on: July 15th, 2024

Ubungo inaenda kupata mapato kupitia Kituo cha kibiashara Cha kimataifa cha East Africa Commercial and logistic Center ( EACLC) ambacho kinaenda kutoa ajira na kusaidia kukua kwa biashara nchini

Hayo yamesemwa na Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa Ccm Taifa Ndg Amos Makalla alipotembelea Kituo hicho  kilichopo stendi ya zamani ya mabasi - Ubungo ambacho ujenzi wake unagharimu kiasi Cha shilingi bilioni 294 sawa na dola za kimarekani milioni 118 ndani yake kutakuwa na  maduka yasiyopungua 2000 ambayo wafanyabiashara watapanga katika maduka hayo

Aliendelea kueleza kuwa, uwepo wa Kituo hicho Cha kibiashara unaenda kuzalisha ajira ambazo watanzania wanaenda kunufaika kwa uwekezaji huo.

Makalla amemaliza ziara yake Leo tarehe 15 julai, 2024  katika Wilaya ya Ubungo  na kumalizia na jimbo la Ubungo 

na kufanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Tp uliopo Sinza 

Aidha, Makalla ametembelea katika hospitali ya Sinza palestina inayoendelea kufanyiwa maboresho na huduma mbalimbali zitaenda kufanyika hospitalini hapo ikiwemo masuala  ya upasuaji na pia uwepo wa vifaa tiba vya kisasa.

Makalla amewasisitiza Wahudumu  wa Afya katika hospitali hiyo kufanya kazi kwa weledi zaidi na kuwajali wagonjwa wanaoenda  kupata matibabu.

Akizungumza  katika mkutano huo Mwenyekiti wa  Chama Wilaya ya Ubungo Ndg. Rogati Mbowe  amemshukuru CPA Makalla kwa ujio wake katika Wilaya ya Ubungo na kufanya ziara katika majimbo yote mawili yaliyopo katika Wilaya hiyo na kumuahidi kuendelea kusimami vyema utekelezaji wa miradi ambayo Serikali inaitekeleza ndani ya Wilaya hiyo.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa