• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA UBUNGO WAPATA MAFUNZO ELEKEZI

Posted on: October 22nd, 2020

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ubungo na Kibamba, Beatrice Dominic  amewataka   Waongozaji wapiga kura watakaoshiriki katika usimamizi wa Uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuzingatia maadili, Sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi ili zoezi hilo lifanyikike Kwa Amani,haki na  utulivu.


Rai hiyo imetolewa Leo tarehe 22 oktoba, 2020 na Msimamizi wa Uchaguzi huyo wakati akifungua mafunzo ya makarani hao 4020  yaliyofanyika katika kumbi za mikutano chuo kikuu cha Dar es salaam.

Beatrice amewaeleza kuwa kazi ya karani katika kituo cha kupigia kura inaweza kufanikisha au kuharibu zoezi la uchaguzi hivyo kila mmoja azingatie maelekezo atakayopewa na viongozi wake kwenye kituo cha kupigia kura ili kuondoa malalamiko wakati wa uchaguzi

Pia,  Beatrice amewaambia makarani hao kuwa "Serikali imewaamini ndio maana mmechaguliwa kufanya kazi ya ukarani katika Uchaguzi huu, tambueni hatima ya wilaya ya Ubungo iko mikononi mwenu"

Makarani wamesisitizwa kuzingatia viapo vyao vya kutunza Siri za uchaguzi na tamko la kutokuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa ili wasiwe na upendeleo Kwa chama fulani.

Makarani waogozaji wapiga kura majimbo ya Ubungo na Kibamba wakipata maelekezo kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba, 2020


Aidha Msimamizi wa Uchaguzi amewaelekeza  makarani hao kuwa "Siku ya uchaguzi karani wa kituo  hautaruhusiwa kuvaa mavazi ya chama chochote  cha siasa kwani mumeapa kujitoa kwenye ufuasi wa vyama vya siasa siku ya uchaguzi"


Makarani wamesisitizwa kuwa kazi wanayoenda kufanya inahitaji ustahimilivu, unyenyekevu na kauli nzuri kwa wapiga kura ili kufanikisha zoezi kwa amani na utulivu kwa kuwaongoza wapiga kura kuingia katika chumba cha kupigia kura.

 Manispaa ya Ubungo ina jumla ya vituo 1545 vya kupigia kura katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa jimbo la Ubungo na Kibamba.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa