• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANDALIZI YA BAJETI YA LISHE 2023/2024 UBUNGO MC

Posted on: November 14th, 2022



Mapema Leo tarehe 14, novemba 2022 Afisa Lishe wa Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Mossile ametoa  ufafanuzi wa Masuala ya udumavu kwa watoto wa kuanzia  0 hadi miaka mitano (5) ambapo kwa Manispaa ya Ubungo,  kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ilikuwa  4.1% ,

Aliendelea kwa kusema kuwa, ukondefu kwa watoto wa miezi 0 hadi miaka mitano ulikuwa 11% na Watoto Waliozaliwa na uzito  pungufu  Kg 2.5 ilikuwa ni  asilimia 8.8.

Mossile, aliendelea kusema kuwa hali hii inaashiria bado jitihada za kutoa elimu ya lishe Bora, inatakiwa ikiwemo  upimaji wa hali ya lishe kwa jamii na ulaji wa chakula mashuleni.
Bajeti ya lishe kwa mwaka wa fedha 2021/2022 iliweza kukidhi mahitaji muhimu kwa namna  ilivyopangwa hivyo kupunguza athari za hali ya lishe duni kwa Manispaa ya Ubungo alieleza Mossile
Nae, Afisa lishe wa Mkoa Bi. Janeth Stanley alitoa taswira ya hali ya lishe Kwa mkoa wa Dar es salaam  na kuelezea changamoto kubwa ya masuala ya lishe bora kwa mkoa wa Dae es salaam ikiwemo ulaji wa chakula shuleni

Alisisitiza  maswala ya lishe alisema kwa sasa Magonjwa yasiyoambukiza yanaongezeka kutokana na takwimu za AFYA na hivyo kusisitiza kwenye maandalizi ya Bajeti ya lishe waweze kuzingatia elimu ya ulaji sahihi katika makundi yote ya watu.

Aidha, alimpongeza sana Mossile kwa kuweza kutekeleza Afua za Lishe vizuri na kupunguza athari ya magonjwa yasiyoambukiza yatokanayo na lishe.

Halikadhalika, Idara ya elimu Msingi  na Sekondari wameweza kupanga mipango yao watakavyoweza kufanya ufanisi wa upatikanaji wa chakula shuleni kwa kishirikiana na wazazi/ walezi sambamba na Idara ya Mifugo, Uvuvi na Kilimo walitoa mawasilisho yao namna watakavyoweza kuzalisha vyakula na kuweza kufanya kilimo cha Mjini ili jamii iweze kuwa na lishe Bora.
 
Na Idara ya Maendeleo ya Jamii  waliwasilisha  namna watakavyoweza kutoa elimu ya lishe kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa kutoa Mikopo nafuu ya 10%, na watakavyoweza kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa kaya zinazohudumiwa na MFUKO wa TASAF.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa