• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA ILEMELA YATEMBELEA UBUNGO

Posted on: November 21st, 2023

Wajumbe wa kamati ya fedha kutoka Manispaa ya Ilemela wametembelea kituo cha mabasi cha Magufuli bus Terminal kilichopo Mbezi katika  Manispaa ya Ubungo kwaajili ya kujifunza namna Manispaa ya ubungo  inavyoendesha kituo hicho sambamba na ukusanyaji wa mapato 

Akiongea baada ya kuwapokea, Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffery Nyaigesha leo tarehe 22 novemba, 2023 aliwakaribisha na kuwaeleza namna ambavyo Manispaa ya Ubungo imekua ikikusanya mapato kupitia kituo hicho ambacho kimesaidia Manispaa kupata mapato zaidi.

Aliendelea kueleza kuwa, mapato katika kituo hicho yamekuwa yakikusanywa kwa kutumia Mfumo wa N - card ni gharama kusimika mfumo huo lakini unasaidia mapato hayapotei. Hapo awali kwa kutumia POS machine makusanyo yalikua hayadhibitiwi vizuri  lakini baada ya mfumo wa N - card kuanza mapato yanakusanywa vizuri na hayapotei.

Akiwasilisha taarifa ya uendeshaji wa kituo hicho, Mkuu wa Idara ya  Mipango na ufuatiliaji Manispaa ya Ubungo Ndg. Andambike Kyomo amesema kuwa Manispaa ya Ubungo kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 imekasimia kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 6 kutoka katika kituo hicho na vyanzo vya mapato hayo hukusanywa kutoka katika vyanzo mbalimbali vilivyopo katika stendi hiyo ikiwemo kodi za upangishaji, maegesho ya magari, matangazo ya biashara, kukodi vizimba, faini, mapato ya matoroli, bajaji, bodaboda, tax, na magari binafsi

Aliendelea kueleza kuwa mpaka sasa utekelezaji wa mradi huo umefikia asilimia 97 ambapo gharama za mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi  bilioni 50.9 mpaka kukamilika.

Nae, kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya ilemela ndg. Egidy Teulasi  ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kuwezesha kupata elimu ya uendeshaji wa kituo hicho ambayo itaenda kusaidia katika kuendesha stendi iliyopo katika Manispaa  ya ilemela na kupongeza namna mfumo  wa N - card unavyofanya kazi katika stendi hiyo.


"Tutahakikisha tunaenda kufanyia kazi elimu tuliyopata hasa mfumo wa N - card ili kudhibiti upoteaji wa mapato" alisisitiza Teulasi













Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa