• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO IMETOA MAFUNZO YA UAMASISHAJI WA iCHF KWA WATOA HUDUMA NGAZI YA JAMII

Posted on: March 11th, 2022


Manispaa ya Ubungo imetoa mafunzo ya uhamishaji wa bima ya  iCHF kwa watoa huduma ngazi ya jamii leo tarehe 11/03/2022 lengo ikiwa ni kuwajengea uelewa wa  na namna ya kutumia mfumo wa uandikishaji wa bima hiyo.


Akiongea kwenye mafunzo hayo,Mratibu wa iCHF  katika Manispaa hiyo  Leticia Meena ameeleza kuwa iCHF ni bima iliyoboreshwa ambayo utaratibu wa kukata bima hiyo kwa kaya ya watu sita ni Tsh 150,000/= na Tsh 40,000/= kwa mtu mmoja na maelezo ya malipo ya watoa huduma hao yanakuwa Tsh 2,000/= kwa uandikishaji wa mtu mmoja na Tsh 7,500/= kwa uandikishaji wa kaya.


Meena ameeleza kuwa bima hii kwa sasa inatumika kwa hospitali zote za serikali kuanzia zahanati, kituo cha afya na hospitali za rufaa za Mikoa kwa utaratibu wa rufaa lakini kwa sasa mteja wa bima hizi anaweza kuanzia kituo cha afya moja kwa moja.


Aidha, Meena amewataka watoa huduma hao kutumia sehemu zenye mikusanyiko ya watu popote watakapo pata fursa ya kufanya hivyo kwa ajili ya kwenda kuhamasisha wananchi kukata bima hiyo kwani mpango wa serikali ni kuona kila mwananchi anakuwa na uhakika wa matibabu.


“Tujifunze kuwekeza kwenye Afya kwa kuwa na uhakika wa matibabu kwa kukata bima ya iCHF.” Alisema  Meena.


Kwa upande  wake Afisa Tehama anaesimamia mfumo wa uandikishaji  wa wateja wa bima hiyo Victoria Kazuzuru ameeleza kuwa huduma zinazotolewa kwenye bima hiyo ni huduma zote ambazo zinapatikana  kwenye zahanati, kituo cha afya na hospitali zote za rufaa za Mkoa ikiwemo upasuaji mkubwa na mdogo, kulazwa, macho, kumuona  daktari, matibabu ya awali ya figo na moyo, tezi dume na magonjwa mengine


“Bima hii inapaswa kuhudumiwa sawa na bima nyingine na asitokee  daktari yeyote atakae mzuia mteja wa bima hii kupata huduma yeyote ambayo inatolea zahanati, kituo cha afya au hospitali yeyote ya rufaa na kwamba ikitokea dawa zimeisha basi daktari anapaswa kumwelekeza mgonjwa zahanati au kituo cha afya au hospitali ili mgonjwa apate huduma sahihi.” Alisema Kazuzuru.


Kazuzuru amesema kuwa watoa huduma hao wanapaswa kuwa na simu janja ambazo zitawekewa mfumo kwa ajili ya kuandikishia wateja wa bima hiyo.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa