• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAANZA KAZI RASMI SOKO LA MABIBO

Posted on: August 18th, 2023

Kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila alilolitoa jana la  kuvunja uongozi wa soko la Mabibo na kulikabidhi kwa Manispaa ya Ubungo na kuagiza shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na uongozi uliovunjwa. Leo Agasti 18, 2023 Manispaa imeanza kazi rasmi ya usimamizi wa soko hilo ikiwa ni pamoja na ukusanyaji wa ushuru kama ilivyokuwa awali bila kufanya mabadiliko yoyote ya tozo hizo.

Kutokana na mabadiliko hayo, wafanyabiashara wamepongeza hatua hiyo na kuonesha ushirikiano wa dhati kwa kutoa ushuru kwa Hiari 

Kwa upande wa wafanyabiashara wa soko hilo wamepokea vizuri mabadiliko hayo na ni mategemeo yao kuwa Manispaa itafanya maboresho ya miundombinu kwenye soko hilo.

Esther Ngowi mfanyabiashara wa nyanya sokoni hapo anaeleza kuwa "Soko letu linahitaji maboresho makubwa ya miundombinu, ukiangalia kipindi cha mvua hatuuzi, humu ndani ni tope tu, kuna baadhi ya wateja wetu wanashindwa kufika humu ndani inapelekea mauzo kushuka. Labda kwa mabadiliko haya tutegeme chochote".

Aidha, Esther amesema Halmashauri kuanza kusimamia soko hili wafanyabiashara kuwajibika kutoa ushuru kwani tuna imani maboresho makubwa yatafanyika  kwenye soko letu hivyo tutakuwa na mazingira Bora ya kufanyia biashara.

Kwa awamu ya kwanza, Manispaa imejipanga kuboresha soko hilo ambapo tayari kiasi cha shilingi milioni 600 zimeshatengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya soko hilo ikiwemo ukarabati wa vyoo, ujenzi wa mitaro na ujenzi mabanda  12.

Halmashauri, inawashukuru wafanyabiashara wa soko hilo kwa kuonesha ushirikiano kwa Manispaa kutekeleza majukumu ya kusimamia soko na kudumisha utulivu  ndani ya soko.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa