• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAFANYA KIKAO NA WADAU WA ASASI WALIOPO KATIKA MANISPAA HIYO

Posted on: July 10th, 2020

Kikao hicho kilifanyika   katika ukumbi wa Tunu Hall uliopo Mbezi na kuongozwa na Mwakilishi wa Mkurugenzi ambaye pia ni Kaimu mkuu wa idara ya Maendeleo ya jamii  Mercy Ndekeno  Mratibu wa asasi zisizo za Kiserikali  Manispaa ya Ubungo  Juliana Kibonde na kuhudhuriwa na wawakilishi wa Asasi mbalimbali zilizopo Manispaa ya Ubungo  na Wataalam kutoka katika Manispaa hiyo.

Lengo la kikao hicho ni utambuzi wa asasi ambazo zipo Manispaa ya Ubungo na kutathimini shughuli zinazofanywa na asasi  hizo na kutengeneza mpango kazi utakao tumika kwa mwaka 2020/2021

"Ni lazima asasi zifanye kazi zake kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu ambazo zitasaidia katika kuhakikisha mnafanya kazi za kuhudumia wananchi ipasavyo na lengo kutimia, pia mhakikishe mnapata kibali kutoka Tamisemi kitakachosaidia asasi zenu kutambulika." Alisema hayo Juliana Kibonde

"Kazi zikafanyike kwa weledi na mkahakikishe mnasimamia misingi yenu ya kazi ili kufanikisha maendeleo ya asasi zenu na kuleta maendeleo katika Manispaa ya Ubungo"Aliongeza Juliana

Aidha mwakilishi wa dawati la Ukimwi Manispaa ya Ubungo ambaye pia ni kaimu Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii  Mercy Ndekeno aliwaasa kuhakikisha wanatoa elimu kuhusu magonjwa yanayoikumba jamii kwa sasa na kama watekelezaji wa asasi hizo kuwa mstari wa mbele kuhamasisha jamii kujitokeza kupima magonjwa mbalimbali kama ukimwi, shingo ya kizazi n.k

Pia Mwakilishi wa dawati la vijana Bi.Bupe Mwansasu aliwaomba wahakikishe katika asasi zao wanaendesha mafunzo kuhusu stadi za maisha kwa jamii na kushirikiana na wadau kuanzisha vituo vya ushauri nasaha na kuendeleza vipaji vya vijana walioko katika jamii.

Sambamba na hayo Juliana alizungumzia kuhusu dawati la Mtoto na wanawake  ambalo Idara ya Maendeleo ya jamii inashughulika nalo kuhakikisha mtoto anapewa haki zake na mwanamke katika jamii kutambua haki zake na kuepeukana na manyanyaso na ukatili wa kijinsia.

Nae mwakilishi wa asasi ya Family Walfare Foundation  Angela Mfinanga ameshukuru kwa elimu waliyoipata  na maandalizi yaliyofanyika ya kikao hicho.

Mwisho  Mercy Ndekeno  aliwashukuru kwa ujio wao na  kuwakaribisha tena  Manispaa ya Ubungo.







Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa