• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAIMARISHA USAFI KWENYE MAENEO YAKE

Posted on: January 28th, 2021

Manispaa ya Ubungo imeendelea kusimamia usafi katika mazingira yake hususani kwenye masoko ambako uzalishaji wa taka ni mkubwa sana na hivyo Manispaa imekuwa ikijitahidi kuzoa  taka hizo Kwa wakati


Akizungumza wakati wa  uzoaji taka katika soko la SIMU2000, Mkuu wa Hifadhi ya Mazingira na Usafishaji Lawi Bernard amesema Manispaa ya Ubungo ina jumla ya magari 3  na mtambo 1 kwa ajili ya kuondoa taka kwenye maeneo ya masoko ikiwemo  soko la  mbezi, Mabibo gameti, manzese na simu2000 pamoja na maeneo mengine ya umma


Bernard amesema kuwa  magari ya kuzoa taka katika masoko makubwa  unafanywa kwa  wastani wa mara tatu kwa wiki na hii ni kutokana na masoko hayo kuzalisha taka nyingi zinazotokana na bidhaa zinazoharibika kwa haraka hususani matunda.

 

Zoezi la kuzoa taka katika soko la SIMU2000  leo tarehe 28 januari, 2021

Uzoaji wa taka  wa mara kwa mara kwenye masoko na maeneo mengine umesaidia kwa kiasi kikubwa kufanya maeneo mengi ya Manispaa kuwa masafi hususani kwenye masoko ambako uzalishaji wa taka ambazo zinaweza kusababisha harufu mbaya ni mkubwa na hivyo kuleta kero kwa wananchi.


Kwa upande wa maeneo ya barabara na viunga Manispaa inafanya usafi Kwa kutumia wakandarasi ambapo Kwa sasa kampuni ya SUMAJKT  ndio inayofanya kazi hiyo


Na hii inahusisha kipande cha barabara ya morogoro kinachopita ndani ya Manispaa, barabara ya Sam nujoma, Mandela, barabara ya Goba na barabara nyingine zinazoozunguka Manispaa


Aidha, taka zinazozalishwa kwenye makazi ya watu Manispaa imeingia mikataba na wakandarasi  Kwa kila mtaa Kwa ajili ya kukusanya taka hizo 


Magari huwa yanazunguka kwenye Mitaa kulingana na mikataba na ratiba zilizopo kwenye Mitaa hiyo"

Gari la kuzoa taka likipita mtaani kukusanya taka 

Akiongea kwa niaba ya wafanyabiashara wa soko la SIM2000 Aisha Juma amesema kuwa anaishukuru na kuipongeza Manispaa ya Ubungo Kwa kusimamia vyema kazi ya uzoaji taka katika soko hilo.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa