• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAKABIDHIWA MIUNDOMBINU YA ELIMU NA SHIRIKA LA OCODE

Posted on: October 23rd, 2022



Shirika la OCODE TANZANIA limekabidhi chumba kimoja cha darasa la mfano kwa ajili ya wanafunzi wa awali, viti 16, meza Tatu na zana za kufundishia vyenye thamani ya shilingi milioni 39 katika Shule ya msingi Kiluvya iliyopo Kata ya Kibamba Manispaa ya Ubungo lengo ikiwa ni kuhamasisha wanafunzi kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.

Akiongea katika hafla hiyo ya kukabidhi miundombinu hiyo Mkurugenzi wa OCODE  Bw. Joseph Jackson amesema sambamba na ujenzi huo wamefanikiwa kutoa mafunzo ya mbinu na zana mbadala za kufundishia iitwayo jifunze kwa walimu wa darasa la awali, la kwanza, la pili na la tatu ili kuwezesha wanafunzi kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.
Joseph ameeleza kuwa mbinu hiyo imesaidia wanafunzi wengi kujua kusoma, kuandika na kuhesabu kwa muda mfupi na ametoa wito kwa Manispaa kuendeleza mbinu hiyo.
Aidha, ameeleza kuwa zoezi hilo la ugawaji wa vitu hivyo limeambatana na kauli mbiu isemayo “ulinzi na usalama wa watoto ni jukumu letu sote tupaze sauti kupinga ukatili dhidi ya watoto wetu sote”

Joseph ameendelea kueleza kuwa kwa muda wa Miaka minne mfululizo imekuwa ikishirikiana na manispaa hiyo  kwa kujenga shule za awali katika Shule ya msingi Kibwegere, Malamba Mawili, Goba na Kiluvya kwa gharama za Shilingi milioni 113.3.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amelipongeza Shirika hilo na kutoa wito kwa wadau wengine kuendelea kuisaidia jamii kama ambavyo wamefanya OCODE.

Kheri ameitaka jamii kutofumbia macho ukatili wa watoto kwani ukatili huo  usipodhibitiwa juu ya watoto wetu wataendelea kunyanyasika. Pamoja na changamoto za maisha zilizopo ni lazima kutenga muda kwa watoto wetu.
“Mapambano dhidi ya ukatili wa watoto ni wajibu wa kila mmoja wetu” Alisema James
Nae Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bi. Leah Linus Sanga ameeleza Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 2,109  na jumla ya vyumba vya madarasa 11 ya msingi na darasa 1 la awali kutokana na wanafunzi waliopo kuna uhitaji wa vyumba 13 vya madarasa.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa