• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAKARIBISHA WAPANGAJI APARTMENT ZA OSTERBAY VILLA

Posted on: December 23rd, 2020

Leo tarehe 23 desemba,2020, Kamati ya Fedha na Uongozi ya  Manispaa y Ubungo jijini Dar Es Salaam imetembelea  mradi wa nyumba za kupangisha ( apartment) za zilizopo osterbay jijini humo lengo ikiwa ni kuhakikisha chanzo hicho kinakusanya Mapato kama ilivyokusudiwa.


Akiongea baada ya kutembelea nyumba hizo, Mhe. Mbunge wa Ubungo Dkt Kitila Mkumbo ambaye pia ni Waziri wa Uwekezaji ameeleza kuwa, Kamati hiyo ina wajibu wa kusimamia masuala ya fedha ikiwemo kusimamia ukusanyaji wa mapato kwa vyanzo vilivyopo na kubuni vyanzo vipya

Serikali inahimiza Uwekezaji wa miradi mkakati ambayo itaiingiza mapato Serikali "Uwekezaji huu ni mzuri sana kwani mahitaji ya nyumba za kupanga hapa jijini no makubwa nawahimiza tuzitangaze tutapata wapanhaji na hatimaye Manispaa itapata mapato"

Wajumbe wa kamati ýa fedha na uongozi wakikagua nyumba hizo.


Dkt Mkumbo ameendelea kusema kuwa " Naomba nitumie nafasi hii kuwakaribisha watu  kuja kupanga katika nyumba hizi kwani zina ubora wa hali ya juu na ziko sehemu nzuri Sana lakini pia kuna huduma zote mhimu ikiwemo sehemu ya kupaki magari viwanja vya michezo pamoja na bwala la kuogelea"

Aidha Kamati imeahidi kushirikiana na wataalam wa Manispaa hiyo kuhakikisha mapato yanakusanywa ipasavyo bila kuacha mianya yoyote ya upotevu wa Mapato.

Wajumbe wa Kamati fedha na uuongozi ya Manispaa ya ubungo  wakifanya majadiliano  baada ya kukagua mradi wa nyumba za kupangisha zinazomilikiwa na Manispaa  hiyo.


Nae Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Beatrice Dominic amesema kuwa , awali Manispaa ailitafuta dalali wa kupangisha nyumba hizo juhudi ambazo hazija zaa matunda ndio maana kwa sasa tumejipanga kuzitangaza  zipate wapangaji  ili kuiingizia mapato Manispaa kama ilivyopangwa.

Beatrice ameeleza kuwa , Ufuatiliaji huo utafanyika kwenye vyanzo vyote vya Mapato ili kwenda Sambamba na agizo la Serikali la kuzitaka Halmashauri kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa lengo la kupunguza utegemezi  wa fedha  kutoka Serikali kwa bajeti ya sasa.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Fedha na uongozi  leo tarehe  23.12.2020  ilipotembelea apartment za kupangisha za osterbay Villa.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa