• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAPONGEZWA JUU YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Posted on: May 16th, 2023



Kamati ya siasa Mkoa wa Dar es Salaam yaipongeza Manispaa ya Ubungo juu ya usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa hiyo.


Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 16/05/2023 na Kamati hiyo wakati ziara waliyoifanya ndani ya Manispaa ya Ubungo na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa hiyo.


Akiongea katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abbas Mtemvu amesema amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa Shule ya wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo italeta heshima kubwa kwa Manispaa hiyo na amefurahishwa na mipango iliyopo juu ya uboreshaji wa shule hiyo.

Mhe. Mtemvu ameiagiza Manispaa hiyo kuboresha barabara kuu inayoelekea Shule ilipo ili kuendana na hadhi ya Shule hiyo.


Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Kyomo wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo amesema Shule hiyo inajengwa kwa gharama za shilingi Bilioni 3 ambapo lengo la mradi huo ni kujenga Shule ya Sekondari maalum ya sayansi ya Mkoa kwa wasichana kuanzia kidato cha I - VI na mradi huo utakamilika ifikapo Juni mwaka huu na kuanza kupokea wanafunzi.


Nae Mjumbe wa Kamati ya siasa Mkoa (MNEC) Ndg. Juma Simba Gadaf ameipongeza Manispaa kwa mradi wa kompyuta 25 zilizopatikana kwa ufadhili wa Korea Kusini kwa lengo la wanafunzi wa shule za msingi kupata fursa ya kujifunza Tehama kwa vitendo mashuleni na amefurahishwa na ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Ubungo ambayo ni ya ghorofa inayojengwa kwa gharama ya Shilingi Milioni 805.

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amesema Manispaa ya Ubungo itaendelea kushirikiana katika kuhakikisha miradi mbalimbali ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na amesema kuwa Ilani ya Chama itaendelea kutekelezwa na kusimamia ipaswavyo kwa maslahi ya wanachi wa Ubungo.


Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa shule ya msingi kiluvya, ujenzi wa mabanda ya wajasiriamali Mbezi njia panda ya Goba, Utengenezaji wa Maktaba kwa kutumia kontena Shule ya Msingi Tegeta A, Ujenzi wa Shule ya Sekondari Ubungo Plaza na hospitali ya wilaya ya Ubungo


@ccm_dsm

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa