• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA LANCET LABORATORIES

Posted on: February 6th, 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo yasaini Mkataba wa kuingia Ushirikiano na kampuni ya LANCET LABORATORIES kwa lengo la kutanua Maabara, kuongeza aina na idadi ya vipimo vitakavyokuwa vikifanyika hospitali ya Sinza. Zoezi hilo limefanyika katika hospitali ya Sinza  Palestina na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Manispaa Beatrice Dominic, Mganga Mkuu wa Manispaa Dr. Peter Nsanya, Mwanasheria wa Manispaa Kissah Mbilla , baadhi ya watumishi wa hospitali hiyo, Meneja Mkuu wa Lancet Laboratories Ndg. Nassoro Salim na baadhi ya wafanyakazi wa Lancet.

Mganga Mkuu wa Manispaa Dr. Peter Nsanya alisema kwamba Manispaa imesaini Mkataba huo sio tu kwa manufaa ya wananchi wanaoishi ubungo bali kwa wananchi wote wa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla. "Niseme tu kwamba vipimo vitakavyokuwa vinapimwa hapa si chini ya vipimo mia tatu ikiwemo  cancer na homa ya ini" aliongeza Mganga Mkuu.

Nae Meneja Lancet Tanzania Ndg. Nassoro Salim alisema kuwa ni siku ya furaha sana kwake kwa kufanikisha Lancet kufanya kazi na Manispaa ya Ubungo. Alisema yote ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za vipimo.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic alimshukuru Meneja wa Lancet Tanzania kwa kukubali kusaini Mkataba wa Mashirikiano. Alisema kuwa lengo la serikali ya awamu ya tano ni kuboresha huduma kwa wananchi hasa kwenye sekta ya Afya na ndicho kinachofanyika. "Niwaahidi Lancet kuwa tutatoa ushirikiano wa kutosha, na nitoe rai kwa watumishi wote kushirikiana vizuri na Lancet. Tayari tumeshafanya mazungumzo na benki ya NMB ili wawepo hapa na malipo yote yawe yanafanyika benki". Aliongeza Mkurugenzi.

Aidha Mkurugenzi alisema baada ya mwezi mmojahospitali ya Sinza itaanza kupokea wagonjwa ambao walikuwa hawafiki hospitalini hapo kwa hofu ya kutokuwepo baadhi ya vipimo na hii sio tu kwamba itaboresha huduma bali pia itasaidia kuongeza mapato.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa