• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAZINDUA KAMATI ZA AFYA ZA KITUO CHA AFYA SINZA NA ZAHANATI YA MALAMBA MAWILI

Posted on: September 12th, 2020

Uzinduzi huo umefanyika  katika ukumbi wa LAPAZ uliopo Luguruni na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic na kuhudhuriwa na  Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt.Peter J.Nsanya, Mwenyekiti wa bodi ya afya Manispaa ya Ubungo Ndg.Israel Sosteness na Wataalam kutoka katika Manispaa ya Ubungo.

Katika uzinduzi huo kamati zilielekezwa  majukumu yao ambayo ni kusimamia vituo kwa shughuli za kila siku, kusimamia maboresho  ili wanachi  wapate huduma bora za Afya ,matumizi ya dawa, kushiriki katika mipango ya kituo  kila mwaka,Wajumbe hao pia wamefundishwa  juu ya ukaguzi wa dawa vituoni(drug audit) n.k

Aidha Mkurugenzi aliongea Kamati zote za Afya Manispaa ya Ubungo kutoka zahanati,Vituo vya Afya na Hospitali juu ya Ukaguzi wa dawa kwenye Vituo hayo , iCHF ianze na wao poa jamii  inayowazunguka, Vilevile  aliwapongeza  wataalam wote ambao wapo kwenye vituo kwa kufanya kazi vizuri na kutoa huduma nzuri   mfano kituo cha Afya cha Sinza, Kimara, Mbezi n.k

"Niwaase wajumbe mkapate huduma katika zahanati na vituo vya afya vilivyopo katika Manispaa ya Ubungo ili kuongeza mapato". aliongeza Mkurugenzi

Vilevile aliwakabidhi miongozo   wajumbe wa  Kamati ya Afya zahanati ya malamba mawili na  wajumbe wa kamati ya  Afya  Hospitali ya Sinza.

Nitamke rasmi kamati ya sinza na malamba mawili imezinduliwa rasmi leo tarehe 12/9/2020

Aidha Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo  *Dkt.Peter J. Nsanya*  aliwataka  wajumbe kuwa mawakala wazuri wa kushawishi wananchi wa wilaya ya Ubungo kujiunga na bima ya Afya ya Jamii (ICHF) ili kupata huduma za afya kwa gharama nafuu.

"ICHF ni bima inayomsaidia mwananchi yoyote wa hali ya chini kupata huduma ya matibabu kwa gharama ya Tsh40,000 kwa mtu mmoja na 150,000/=kwa familia ya watu sita  baba, mama na tegemezi wake wanne kwa mwaka mzima"  aliongeza Mganga Mkuu.

Sambamba na hayo Mganga Mkuu aliendelea kuwakumbusha wajumbe kuwa ni muhimu wakatambua majukumu yao na kuzingatia misingi  ya kazi zao.

Nae Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo *Ndg.Sostenes Israel*  aliwashukuru wajumbe wa kamati na kuwasihi kuzingatia majukumu yao na kuwapongeza kwa kazi nzuri ambazo zinafanyika.

Mwisho Mkurugenzi aliwashukuru wajumbe kwa ujio wao na kuwapongeza kwa kujitokeza kwa wingi  pia aliwaasa wakafanye kazi ipasavyo na kuwataka wakajitokeza kwa wingi wakati wa uchaguzi iliwaweze kuchagua viongozi wao.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa